Clinton na binti yake mitaa ya vingunguti et al katika picha

Clinton na binti yake mitaa ya vingunguti et al katika picha

Shadow

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2008
Posts
2,897
Reaction score
679
1773311_orig.jpg
Baadhi ya wakazi wa Vingunguti Mtambani wakimsubili Rais wa zamani wa Marekani Bill Clinton (hayupo pichani)





8486437_orig.jpg



[TABLE="class: wslide-main, width: 696"]
[TR]
[TD]
5663953_orig.jpg






[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


[TABLE="class: wslide-main, width: 696"]
[TR]
[TD]
6589838_orig.jpg








[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


[TABLE="class: wslide-main, width: 696"]
[TR]
[TD]
995654_orig.jpg






[/TD]
[/TR]
[/TABLE]



[TABLE="class: wslide-main, width: 696"]
[TR]
[TD]
5691658_orig.jpg






[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


[TABLE="class: wslide-main, width: 696"]
[TR]
[TD]
636336_orig.jpg








[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


[TABLE="class: wslide-main, width: 696"]
[TR]
[TD]
8742214_orig.jpg








[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


[TABLE="class: wslide-main, width: 696"]
[TR]
[TD]
8325925_orig.jpg








[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
...daaah anakula pensheni tu...
 
vipi, barabara zilifagiliwa maana naona kudeki sio rahisi kwa vile ni za kifusi.
 
[TABLE="class: wslide-main, width: 696"]
[TR]
[TD]
8325925_orig.jpg







[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Mdogo wangu ungeupiga peku peku tu sasa ona na kiatu nacho kimeenda najua aliumia lakini ukusema pole popote ulipo kwa sasa.
 
hivi ukimaliza mda wa urais wa marekani uadui na magaidi unaisha?mbona sioni ulinzi mzito!!!!
 
Angalíeni kwa kuacha mimba huyo hajambo..
 
Clinton amekonda sana ila najua alipunguza uzito wakati wa harusi ya Chelsea. Hivi huyu Chelsea bado yuko kwa mume aua yeye na mumewe wameambatana?
 
hivi wanatatfuta nini hapa tanzania, obama, then bush, now clinton..who is next..
 
Je, lini vIongozi wastaafu wa Afrika watajitolea kusaidia maskini bila kujali kabila , rangi, dini au itikadi? Huyu Clinton alifanyiwa operation ya moyo, kama ni huku bongo angeishakuwa marehemu.... lakini tunaaswa USICHEKE MGONJWA!
 
Hapa si bure kuna jambo,mpaka vingunguti??????au imegunduliwa gesi wana vingunguti wasubiri kufidiwa????ngoja wajuvi waje watoe somo
 
Back
Top Bottom