Clinton na binti yake mitaa ya vingunguti et al katika picha

Clinton na binti yake mitaa ya vingunguti et al katika picha

Miaka 20 iliyopita ilikuwa ngumu sana kumkaribia huyu mzee!!! Kweli wakti unataradadi!!
 
8742214_orig.jpg

Mtoto katuliaa,,,kitu saa sita!
My target also chuchu saa sita
 
what's a point now, look hakuna urafiki wa chui na mbuzi ukiona ushtuke...resources, resources,resources....u got me??
Dhahabu, Tanzanite, Gesi na hata Almasi vyote ni bure kama huna capital.
Na capital haiji kwa kujifungia, ni kutumia akili na kutafuta jinsi tunavyoweza kufaidika navyo.
Ukiwa na jembe la mkono hivyo vitu havitoki ardhini, na kitu cha kwanza ni kuweka mazingira safi ya kuwakaribisha hao mtakaoshirikiana nao, na wewe binfsi kujiweka sawa.
 
aiyaaaaa.... ishauzwa!!bush- kigambon, clinton- vngungut naomba obama asiwe kainunua mbez!
 
Mwezi uliupita nikiwa Ubungo bus stand nilikutana na mwalimu wangu aliyenifundisha std 7 na wakati huo tulikua tuna kimbia nae mchakamchaka na sasa yupo na fimbo ya kutembelea, akaniambia umekua sana kijana kidogo nikusahau, moyoni nilicheka nika jiuliza kwani wakati ule anakimbia na sisi mchakamchaka alikua anatumia fimbo? ni sawa na anayesema clintoni miaka 20 iliyopita alikua kijana bila kujua yeye pia ana '20 plus', yani kadri umri wa clintoni unavyoongezeka nayeye pia vilevile..
 
Back
Top Bottom