niliiona kwa vipande lkn mzee anaonekana yuko vizuri sana na hazina ya ufahamu na hekima kama akina JK wakipenda kumtumia! Natamani pia ningeona mahojiano kama hayo yakifanywa na mawaziri wakuu wastaafu John Samwel Malecela na Edo Lowassa,lakini kwa kifupi Mzee CD Msuya yuko vizuri sana.
Utumbo mwingine bwana!!Msuya kiongozi mzuri na wengine wote. Sioni kwa nini anaingizwa Kikwete humu; kwanza Msuya hata afanye nini hamfikii Kikwete, kwa sababu kikwete Ni RAIS, na akimaliza anakuwa RAIS MSTAAFU.
Kumkashifu kikwete ni kuwakashifu waliompigia kura.
Tusiende huko kwa sasa. tubaki na CD MSUYA, Amekubaliwa.
Mie pia nimemkubali; kapeleka umeme mwanga, Bunda kuna nini?
Katika kipindi cha 45 minutes cha ITV leo jioni , mtoa mada alikuwa CD Msuya, Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais, enzi ya Mwalimu.
Kwa hakika amenikosha sana.
Bado ana data na current za kiuchumi-inaelekea nafuatilia sana current events
Hana papara wala jazba kujibu maswali, na alikuwa composed.
Lakini zaidi ya yote ameiasa nchi mambo makuu yafuatayp
Kwa jinsi alivyokuwa akijieleza kwa ufasaha, tofauti kubwa imeonekana , ukilinganisha na "Mawaziri vijana" wetu waliopo sasa.
- kuwawezesha wakulima kutukia mbegu bora, utaalam bora wakilimo, na mechanization
- ameishauri serikali kupunguza matumizi(kuachana na mashangingi)
- kuongeza uzalishaji mali-katika kilimo n.k. ili kuongeza pato la taifa nahatimaye kupunguza kuporiomoka kwa shilingi yetu
Walioona tupeni maoni, good or bad.
Lazima tumpe respect Mzee CD, kama alivyokuwa akifahamika,kwa kuwa anajua yanayoendelea nchini pamoja na kwamba hakukulia kwenye siasa, bali katika utendaji serikalini(technocrat).Msuya was a technocrat who became a politician by accident. I have interviewed him several times and he knows his stuff.
Ni kweli kabisa na hili ndio la kuliangalia, kama ni maneno matamu wengi tu leo hii tunaweza kuwahoji wakatupa hayo maneno matamu, swali la msingi linabaki pale pale watanzania tulifaidika na nini wakati wa wake, what legacy did he leave for us.........!Unamkumbali kivipi? Wakati wa utawala wake kafanya nini cha kukumbukwa?
niliiona kwa vipande lkn mzee anaonekana yuko vizuri sana na hazina ya ufahamu na hekima kama akina JK wakipenda kumtumia! Natamani pia ningeona mahojiano kama hayo yakifanywa na mawaziri wakuu wastaafu John Samwel Malecela na Edo Lowassa,lakini kwa kifupi Mzee CD Msuya yuko vizuri sana.