lukindo
JF-Expert Member
- Mar 20, 2010
- 8,466
- 9,028
Hii kitu ni ya msingi sana japo kuwa nami nilidhani kuwa ni ukabila hapo awali. Kumbuka huyu kachaguliwa na watu japo ni PM ...wanadai kuwa pesa zinazotutia wazimu sasa (chenji ya rada), hiyo kampuni ya BAE iko based jimbo alilokuwa anatokea Tony Blair na alishinikiza ili wapigakura wake waspoteze kazi.
Huwezi kupeleka umeme nk nchi nzima kwa siku moja na the best way of doing it, no way ..."charity bigins at home"! Sio kama tunavyoona sasa ambapo tunawasaidia wageni kuhamishia 'maisha bora' nje ya nchi ...(lakini napenda pia Mkulu anavyopa 'overhaul' Msoga)

Bwana ndugu, mimi sidhani kama ulifanya kazi chini ya CD Msuya kudraw hii conclusion ambayo naona ni mawazo binafsi.
Na je mtu akipeleka umeme kwao kuna dhambi gani, alimradi kulikuwa hakuna umeme-huko hakuna waTanzania wanaotaka umeme kama wananchi wa sehemu nyingine kama Kisarawe ,Kishapu au Kiteto?
Tuache kutetea sera za kimaskini.
Mtu kwao.
Nasema hivi kwa vile mimi si Mpare lakini sioni kosa la kupeleka umeme unaozalishwa Nyumba ya Mungu na unapita juu kwa juu barabarani.