Clean 9: Mkombozi wa wale wenye mafuta yaliyozidi mwilini. Punguza 3kgs - 8kgs Kwa Siku 9 tu

Nimechoka kunenepe jamani hebu niambie mliotumia hiki kitu ni kweli? Nataka kupungua sasa
 
Naomba namba ya huyo mdada wa Miwani no. 5 ..

Nahitaji nimuulize mambo machache na kuhitaji ushuhuda wake...

Asante.
 
Njia salama ya kupungua ni mazoezi na kupunguza vyakula vya wanga na sukari. Tanzania bado tuna vyakula vingi tunavyoweza kutumia kama detox na tukaendelea na diet vema kabisa . Kwa mfano mboga za majani, matunda , maharage mabichi haya hupatikana sokoni kwa dar nenda temeke au soko la buguruni utapata bidhaa kwa bei nzuri. Jiandae kisaikolojia kujiwekea malengo madogo madogo , eg kwa wiki hii situmii sukari , unaanza na chai na kipande cha brown bread na tunda , mchana unakula salad na kipande cha samaki, jioni unaweza kula mchanganyiko wa mboga za majani sahani nzima na juice .

Kitabibu ni hatari sana kukimbilia kupungua ndani ya wiki chache ..maana hata kunenepa hakupo hivyo. Usiulazimishe mwili kupoteza body mass at a rapid pace maana hutaweza kumaintain. Hao tunaowaona kwenye picha wape miaka 2 tu at max. uone watakavyokuwa.

Weight loss is a complete change of lifestyle na sio suala la wiki 5 tu. Tumia muda kusoma medical advise on weight loss.
 
Ni kweli mazoezi ndio njia moja wapo ya kupunguza uzito, na hata katika program ya clean 9 pia unafanya zoezi lolote kama kutembea, kukimbia au hata kuogelea kwa dakika 20 tuu kila siku kwa siku zote tisa. Ni sawa sawa na kuwa mchezaji mzuri unafanya mazoezi kila siku, lakini kama huli vizuri ni bure kabisa.

Ni kwamba mazoezi peke yake hayakupunguzishi uzito kama huwezi kuupa mwili virutubisho sahihi. Ndio ile unaacha zoezi unarudi kule ulipokuwa mwanzo. Na kwa jinsi tulivyo katika dunia hii ni vigumu sana kula vitu vyote vinavyotupa lishe sahihi kwa wakati moja kwa virutubisho mwili unaohitaji. Hapo ndipo Clean 9 inapokuja.

Hii program inakufanya utumie lishe hii kwa siku tisa, na hii lishe inakwenda kusaidia viungo vyako vya ndani, kama kusafisha figo, inni, kuhakikisha mwili una lishe zote zinazohitajika, kwasababu mwili ukipata kila kitu automatic mwili unaanza kutoa hizo extra fats. Hii sio dawa ya kula ukaaharisha hapana.. Hii ni lishe itakayosababisha mwili uchome mafuta ya ziada kwasababu kwa siku hizo tisa mwili utapewa lishe inayohitajika.


Kupata Clean 9 - WhatsApp/ SMS 0753 706 284
Asante mkuu ila naomba niulize swali,je ukuishamaliza hizo sikun 9 tuseme ukapungua vizuri tu,unatakiwa uendelee na dozi ili mwili upate viini lishe au ukiishapona basi,isije ikawa kama habari za viagra na nguvu za kiume.
 
laki 9 ? Hiyo ni bei ya miezi 9 kwenye gym ninayofanyia mazoezi .
Mkuu siku nyingine tunappo kuwa na hoja nyeti kwa Taifa letu kama hii ishia kuchungulia tu, usubirie kwenye hoja za siasa zenu za kitoto, mlizozoea nasi mjadala kama huu unaohusu wabunge kutumika kupotosha umma kwa maslahi yao binafsi
 
Mkuu siku nyingine tunappo kuwa na hoja nyeti kwa Taifa letu kama hii ishia kuchungulia tu, usubirie kwenye hoja za siasa zenu za kitoto, mlizozoea nasi mjadala kama huu unaohusu wabunge kutumika kupotosha umma kwa maslahi yao binafsi
Ku panic kwako bado hakuwezi kuondoa ukweli
kwamba kwenye gym ninayofanyia mazoezi (with full equipments ) nalipa laki moja tu kwa mwezi , jifunze kufanya biashara , kuwakoromea wateja hakutakusaidia chochote .
 
Nimemuona dada 1akiyepungua kwa kutumia hiyo c9....
Bt mi natumia bidhaa zao za kawaida tu km dawa ya.meno na imenisaidia sn tu coz nilikuwa na tatizo la meno...na baadhi ya bidhaa za ngozi ambazo zinakuacha natural na ngozi yako na hazina chemical...ni hayo tu
 
siko hapa kukuharibia biashara yako but Guys be warned

Matumizi ya madawa kupunguza uzito au manyama ya mwili ni hatari sana kwa afya yako

Njia salama ni kuwa makini na vyakula tunavyokura pamoja na kutumia muda mwingi kufanya mazoezi sahihi
 
Back
Top Bottom