Clean 9: Mkombozi wa wale wenye mafuta yaliyozidi mwilini. Punguza 3kgs - 8kgs Kwa Siku 9 tu

Uhuru Peak

Member
Feb 17, 2014
23
8
attachment.php


Bidhaa hii ni mchanganyiko wa bidhaa nne (Aloe Vera Gel chupa 3, Ultra lite with Aminotein, Bee Pollen na Garcinia. Pia ina tape measure. Ina kitabu cha mwongozo wa jinsi ya kuzitumia bidhaa hizi.

Clean 9 ni muhimu katika kupunguza mwili kwa sababu ina fanya kazi ya kusafisha mwili, kuondoa sumu mwilini, kuondoa mafuta yaliyozidi mwilini na kukupa mfumo bora wa ulaji wa chakula.

Matumizi yake ni rahisi, siku mbili za mwanzo utatumia bidhaa bila chakula, na siku ya tatu utaanza kula. Utahitajika kufanya mazoezi kwa angalau dakika 20. (Kutembea, kuruka kamba, kukimbia au gym) Utahitajika kunywa maji ya kutosha angalau lita 3 kila siku.

Inatumika kwa siku 9. Na itakusaidia kupunguza kilo 3 mpaka 8. Kisha kwa kupunguza zaidi utatumia Nutri-lean ambayo ina bidhaa za mwezi mzima na unauwezeo wa kupungua kilo 10 mpaka 15.


WhatsApp/ SMS 0753 706 284
 

Attachments

  • Label designs-2.jpg
    Label designs-2.jpg
    81 KB · Views: 52,571
How does Clean 9 work?

This very short video explains really well how the plan works and what the benefits are for you. Plus you can see how much weight people have lost on the plan and what they think of it:



What Do You Get With The Clean 9 Program?

These are the products you receive in your Clean 9 pack:

3 Tubs of the Aloe Vera Gel Drink
1 Tub of the Forever Lite Ultra Shake
1 Tub of the Garcinia Plus Capsules (70 softgels)
1 Tub of the Bee Pollen tablets (100 chewable tablets)
1 Tape Measure
1 Step By Step Guide to the Clean 9 Detox Program

What Do These Products Do For You?

Clean 9 is a simple and easy to follow 9 day nutritional cleansing program.

What it does is cleanse your body of all the unnatural chemicals and really kick starts your weight loss.

It gives you full nutrition which means your body doesn’t try and hang on to it’s fat stores!

When you drink Forever’s Aloe Vera Gel, it gently cleans all the waste matter out of your intestines. You can then absorb the nutrients from your food better, which in itself helps you feel good.

But it gets even better, because you will also absorb all the many nutrients contained within the aloe vera! You can find out more here: Aloe vera juice benefits

The Bee Pollen is packed with energy-giving nutrients and is high in protein.

The Garcinia helps the body burn fat by enabling the metabolism to work properly. It also lowers cholesterol and fatty acids and balances the blood sugar levels.

The Forever Lite Ultra Shake is a meal replacment shake that is packed with vitamins and minerals.

How Much Weight Will You Lose on Clean 9?

Everyone of us is different, but on average most people lose between 3 and 8kgs in the 9 days that the Clean 9 plan lasts.

There is, very importantly, a follow up program (which I touched on earlier, it’s called Nutri Lean) to keep the healthy regime going and to ensure you keep the weight off long term.

As you probably know, the problem with most weight loss plans and diets is that no sooner have you lost the weight than you put it all back on again. That won’t happen if you stay on the follow up plan.

You will see that in some cases, people lost many stones in weight, and all the while they were making their bodies healthier.

How Can I Get The Clean 9?

WhatsApp/ SMS 0753 706 284
 
Last edited by a moderator:
"MziziMkavu" njoo hapa utusaidie tafadhari...' kati ya Clean 9, na hile ya kwako ya mazoezi, ipi ni bora?
9778109_m.jpg


BOFYA HAPA
 
Jf kuna raha zake na karaha zake,
mtu kaleta tangazo apige pesa nyingi mnakatisha tamaa ooh mara kitabibu mara mazoezi we kama huna hela si usepe?
 
"MziziMkavu" njoo hapa utusaidie tafadhari...' kati ya Clean 9, na hile ya kwako ya mazoezi, hipi ni bora?


BOFYA HAPA

Mazoezi ya ndio njia pekee na iliyo salama.

Mazoezi ndio njia pekee kwa nyie mnaotaka kupungua njia nyingine zote hazikosi side effects

Hiyo kweli

Njia nzuri ya kupungua ni kupata stress ya kumegewa mke/ mme na pesa kuwa ngumu maishani mwako sambamba. Na matatizo yanayoitaji pesa yakikuandama

kuharisha kuna Kata Sana weight

Jf kuna raha zake na karaha zake,
mtu kaleta tangazo apige pesa nyingi mnakatisha tamaa ooh mara kitabibu mara mazoezi we kama huna hela si usepe?

dah!! mi naomba muweke no. zao za cm

Ni kweli mazoezi ndio njia moja wapo ya kupunguza uzito, na hata katika program ya clean 9 pia unafanya zoezi lolote kama kutembea, kukimbia au hata kuogelea kwa dakika 20 tuu kila siku kwa siku zote tisa. Ni sawa sawa na kuwa mchezaji mzuri unafanya mazoezi kila siku, lakini kama huli vizuri ni bure kabisa.

Ni kwamba mazoezi peke yake hayakupunguzishi uzito kama huwezi kuupa mwili virutubisho sahihi. Ndio ile unaacha zoezi unarudi kule ulipokuwa mwanzo. Na kwa jinsi tulivyo katika dunia hii ni vigumu sana kula vitu vyote vinavyotupa lishe sahihi kwa wakati moja kwa virutubisho mwili unaohitaji. Hapo ndipo Clean 9 inapokuja.

Hii program inakufanya utumie lishe hii kwa siku tisa, na hii lishe inakwenda kusaidia viungo vyako vya ndani, kama kusafisha figo, inni, kuhakikisha mwili una lishe zote zinazohitajika, kwasababu mwili ukipata kila kitu automatic mwili unaanza kutoa hizo extra fats. Hii sio dawa ya kula ukaaharisha hapana.. Hii ni lishe itakayosababisha mwili uchome mafuta ya ziada kwasababu kwa siku hizo tisa mwili utapewa lishe inayohitajika.


Kupata Clean 9 - WhatsApp/ SMS 0753 706 284
 
Back
Top Bottom