Clara Luvanga: Wanaume wanaogopa kunitongoza

Naomba Muongozo, nimekuwa nafatilia sana timu za wanawake huko nje, na timu yangu pendwa ni chelsea women.. asilimia kubwa wachezaji wote wanakuwa na mionekano ya kike.(wazuri) ila hapa bongo ukisikia kuna binti anacheza mpira basi usiangaike kujua anafananaje! total kama mwanaume! shida ni nini?
 
Ye angekuwa mwanaume sngetongoza mwanamke km yeye?

Ajiweke kikike, nguo za kike, kawigi, make up.. wahuni wanaishi nae, asubuhi akienda kuoga make up imetoka, haina tabu muhuni akikumbuka PAPA wemba ilivyo tamu na michezo qnaiweza, anabaki demu wa mafichoni.
 
Sawa mazoezi yanawaweka na misuli, sema wengi wao wanajiweka kiume zaidi, mavazi ya kiume. Sasa hapo na hiyo kaunda suti si utasema ni bob Ludala ama mjomba wa peku yule mnafiki jina nimelisahau.
Kuna jamaa alishambuliwa sana mtandaoni miaka fulani alicoment kwenye post ya Selena yule mcheza tennis kua anaeichapa ile pisi basi anaweza chapa hata punga maana hana tofauti na Me. Alishambuliwa sana yule bwana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…