Assasin Creed
Member
- May 17, 2018
- 17
- 6
Wadau tulioomba kazi huko tupeane update calls za Interview zishaanza??
Hawa wapo faster,ila online test hua wanakutumia email kama umefanikiwa au haujafanikiwaHao nrc walishatuma online written test, wiki iliyopita sijui baada yahapo kama walishaita kwa stage nyingine