CIA kuweka picha za mauaji ya Osama hadharani leo

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
Muda si mrefu leo hii dunia itashuhudia picha na matukio ya mauaji ya Osama Bin Laden kwenye television zote na kwenye mitandao duniani hii ni kutokana na utata uliojitokeza kwa kuuwawa kwa gaidi number moja duniani watu wamekua wakijiuliza kama Osama alikua anatafutwa kwa muda wa miaka 10 iweje kuuwawa na kuzikwa kwake iwe ni siri. Souce: CIA
 
Hao CIA waache usanii wao...walishindwaje kuonesha mapema baada tu ya tukio? wanafanya editing kwanza..Osama alishakufa kitambo kwa maradhi na alishazikwa milimani...source:bofya hapa
 
Muda si mrefu leo hii dunia itashuhudia picha na matukio ya mauaji ya Osama Bin Laden kwenye television zote na kwenye mitandao duniani hii ni kutokana na utata uliojitokeza kwa kuuwawa kwa gaidi number moja duniani watu wamekua wakijiuliza kama Osama alikua anatafutwa kwa muda wa miaka 10 iweje kuuwawa na kuzikwa kwake iwe ni siri. Souce: CIA

vipi wamesha weka hadharani? umeona kama rais wa kabla ya obama bwana bush kakataa mwaliko wa sherehe za kusherehekea mauaji?
 
Bado scenes za movie hazijakaa vizuri,,on omission and editing phase!

Walisahau kuwa watu watadai picha angalau zile za uvamizi wa nyumba yake,kabla hawajamuua.
Kama za picha za maiti yake hazitazamiki.

Kabla ya kumuua pia walipata live feed au vipi? Au walikuwa wanatazama scary movie tu, wao waliambiwa Operation kamata,ua Osama?
Hata hizi hawataki tuone?
 
Tukubali tu kuwa hii senema yetu mwongozaji alishaikosea tangu mwanzo, na hawa actors wawili walishindwa kuuvaa uhusika wao hasa(Al-Jazeera na BBC), halafu main actor nae anaonekana hafit kwenye nafasi yake. Maybe Part II watajipanga zaidi. Cut!
 
Nimekusoma mkuu
 
Muda si mrefu leo hii dunia itashuhudia picha na matukio ya mauaji ya Osama Bin Laden kwenye television zote na kwenye mitandao duniani hii ni kutokana na utata uliojitokeza kwa kuuwawa kwa gaidi number moja duniani watu wamekua wakijiuliza kama Osama alikua anatafutwa kwa muda wa miaka 10 iweje kuuwawa na kuzikwa kwake iwe ni siri. Souce: CIA
Ndallo,
Mwenzetu unapata wapi habari hizi ambazo tv za kawaida kama CNN na BBC zinasema kinyume chake?
 
Mi naona wa2 wanaji2ngia mambo ya kusema wenyewe. Na humu na ndani 2likwishasema andika thread ya ukweli. Mjuwe tu w2 wa kusema ukweli kwa kiwango hii 80%
 
mbona ya saddam hussein walionesha walivyomnyonga hii kama ni kweli kwanini wanaficha? lazima wadadisi wa mabo tutilie mashaka hili tukio la mauaji ya ossama
 
Picha za Sadam hazikuonyeshwa mkuu bali zilivuja kupitia cm

Mhm, sadam kuanzia anapelekwa kitanzini, anagoma kufungwa kitambaa, mpaka anasali xcept mnyongo wenyewe, mengine yote mpaka mwili ulivyoshushwa CNN walionyesha live, tena ilikuwa sijui tar. 26 ile...surely mwisho wa mwaka!
 
Hawa hawakua walengwa hasa....waliachwa mjengoni....
Bin%20Laden%20Compound%20Reuters%20Graphic%202.jpg

Bin%20Laden%20Compound%20Reuters%20Graphic%203.jpg

Bin%20Laden%20Compound%20Reuters%20Graphic%204.jpg
 
Back
Top Bottom