Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,622
- 36,639






Leo nilisema mpaka niipate hii PUMBA na NimeipataKufanyiwa operesheni ya moyo Rais wa Korea kaskazini, na kisha hali yake kusemekana ni mbaya au pengine amefariki Dunia ila Siri zinafichwa kwanza, inasemekana ni njama za Marekani.
Kwa mujibu wa CNN TV hali ya Rais Kim Jong Un ni mbaya mno, yuko mahututi, all in all, hakuna kosa ambalo Rais Kim alilifanya Kama kukutana na Rais Trump.
Slogan ya CIA ni "Get them close to you in order to have your task easily executed ".
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante MKUU kwakutumezesha Matango Pori Ehe
CIA mnasemaje Huko Makao Makuu Yenu






Sent using My COVID-19


