CIA imetimiza mission North Korea?

CIA imetimiza mission North Korea?

Kufanyiwa operesheni ya moyo Rais wa Korea kaskazini, na kisha hali yake kusemekana ni mbaya au pengine amefariki Dunia ila Siri zinafichwa kwanza, inasemekana ni njama za Marekani.

Kwa mujibu wa CNN TV hali ya Rais Kim Jong Un ni mbaya mno, yuko mahututi, all in all, hakuna kosa ambalo Rais Kim alilifanya Kama kukutana na Rais Trump.

Slogan ya CIA ni "Get them close to you in order to have your task easily executed ".

Sent using Jamii Forums mobile app
Tupe basi update? Au uliingizwa mkenge?
 
Wabongo mnachonga utafikiri unauhakika ona umeumbuka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wachambuzi wa mambo wanasema kuwa, kutoonekana Kim kwa siku 20, na kutofahamika hasa alichokuwa akifanya huku tetesi zikienea duniani kuwa Kim amekufa au yuko mahututi, yaonesha udhaifu wa intelijensia za mataifa ya magharibi na washirika wao ktk kushindwa kutambua yanayojiri ndani ya North Korea.
Kufanyiwa operesheni ya moyo Rais wa Korea kaskazini, na kisha hali yake kusemekana ni mbaya au pengine amefariki Dunia ila Siri zinafichwa kwanza, inasemekana ni njama za Marekani.

Kwa mujibu wa CNN TV hali ya Rais Kim Jong Un ni mbaya mno, yuko mahututi, all in all, hakuna kosa ambalo Rais Kim alilifanya Kama kukutana na Rais Trump.

Slogan ya CIA ni "Get them close to you in order to have your task easily executed ".

Sent using Jamii Forums mobile app
@My son drink water nimenukuu hizi facts toka kwa mzew baba hapo chini wewe kama mchafuzi maaeufu wa propaganda zakimagharibi hapa jf unamaoni gani ?!

sikiri mimi maskini

Sent using My COVID-19
 
Back
Top Bottom