CIA imetimiza mission North Korea?

CIA imetimiza mission North Korea?

Eti CIA tehteh, baba yake nae pia alikufa kwa matatizo ya moyo pia ni CIA? yaani hawa ni wale wanaosema leo eti kuna taifa teule hahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
Kim hakuwa na matatizo makubwa ya moyo kiasi hicho, mtu mwenye heart problems hawezi ku attend uvurumishaji wa makombora.
Halafu Baba yake Kim hakufa kwa heart attack, alikuwa na Cancer ya muda muda mrefu sana na alikufa siku nyingi ila Taarifa zilifichwa na kisha Dunia ikatangaziwa eti alikufa kwa heart attack.
Chuki zako kwa Marekani hazikusaidii lolote, kweli iko pale pale US ni super power na Israel ni Taifa teule

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dogo ana matatizo ya moyo kitambo sana tangu akiwa akiwa anasoma...
Hata hivyo wakitaka kukuua mara nyingi wanapitia mlemle kwenye historia yako ya kiafya ili kazi yao iwe soo clean, kama huna matatizo ya kihistoria ya afya yako basi hapo ndo wataumiza kichwa kutimiza lengo lao.
 
Yaani hawa jamaa wanashangaza sana aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe na wewe una uelewa mdogo kiasi hicho?
Una support umbumbumbu wa huyo jamaa?
Yaani hajui kuwa CIA works by being instructed by the US President when such a necessity arises
Hii mada ni ya watu intellectuals, acha chuki na ushabiki, jikite kwenye ukweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna baadhi ya Mawaziri wapo kwenye payroll ya CIA, na TISS hawajui, unaijua kwa kina kazi ya Rostam Aziz?
Nikitulia nitakuja na uzi maalumu, jiulize, kwa nini Rostam ni rafiki wa kila Rais?
Kifo cha Mengi, kuna mengi yamejificha nyuma ya pazia, na hayati Mengi alikuwa adui mkubwa mno wa Rostam.
Niishie hapo kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huu uzi maalumu lini utauleta asee?
 
Kim hakuwa na matatizo makubwa ya moyo kiasi hicho, mtu mwenye heart problems hawezi ku attend uvurumishaji wa makombora.
Halafu Baba yake Kim hakufa kwa heart attack, alikuwa na Cancer ya muda muda mrefu sana na alikufa siku nyingi ila Taarifa zilifichwa na kisha Dunia ikatangaziwa eti alikufa kwa heart attack.
Chuki zako kwa Marekani hazikusaidii lolote, kweli iko pale pale US ni super power na Israel ni Taifa teule

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini asihudhurie MKUU kwani unahisi kila mwenye tatizo lamoyo anakua na mstuko ama kuanguka kama unavyohisi namatanyingi tatizo lamoyo hua linatokea kwajambo ambalo sio lakutarajia kama mstuko flan nahalaf pia kim kukagua yale makombora yakiwa yanafyatuliwa sikama anakaa hapa nahapa anakaa umbali mkubwa kiasi kwamba mda mwengne anatumia mpaka darubini kuangalia ufanyikaji watukio husika

.

Sent using My COVID-19
 
Spark ya kombora mkuu ni balaa Ukiwa na heart disease unakufa on the spot

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi mkuu sijasema kafa, hebu soma tena Topic yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Swali langu halijahusiana na TOPIC yako MKUU limehusiana na Jibu Ulilomjibu jamaa kuhusiana na KIM nandio maana nikakuuliza hv MKUU alisema kim yupo hai ukasema aweke ushahidi kama yupo hai kwatafairi yaharaka unakubali kama jamaa kafa nandio maana na mm nataka ushahidi kama jamaa kafa

Sent using My COVID-19
 
Kumbe na wewe una uelewa mdogo kiasi hicho?
Una support umbumbumbu wa huyo jamaa?
Yaani hajui kuwa CIA works by being instructed by the US President when such a necessity arises
Hii mada ni ya watu intellectuals, acha chuki na ushabiki, jikite kwenye ukweli

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kulisha wenzako kamba yaani wew jamaa.. Hahhaha
 
Back
Top Bottom