Uzi ufungwe. Umemaliza kila kitu.Dogo ana matatizo ya moyo kitambo sana tangu akiwa akiwa anasoma...
Jamaa naye alizidi kujiamini kupitiliza ndio maana Meko uwa namshangaa sana kuwaita mabeberu na kujiamini wakati yupo nyuma ya mlango wa kuingilia ndani wakati wenzie wanafuatwa chumbani.
Tuambie CIA wamehusikaje Hapo Mara unamtaja Trump Sasa nae nI CIA. Au kiduku yy hawezi kuumwa pasipo kuhujumiwa na hao CIA?
Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo ana matatizo ya afya kitambo sana, ndiyo maana Marekani walikuwa wanaangaika kutafuta kinyesi chake bila mafanikio,Uzi ufungwe. Umemaliza kila kitu.
Sigara ina madhara ya moyo?Sasa na hayo mafegi yote alikuwa anapuliza ya nini na hilo tatizo la moyo..kajimaliza mwenyewe
We ni me or ke.......Hahahaha.....Hakuna kitu sipend kama kuweka picha ya mtu nisiyo na uhusiano nayo
Kuna baadhi ya Mawaziri wapo kwenye payroll ya CIA, na TISS hawajui, unaijua kwa kina kazi ya Rostam Aziz?wewe jamaa ni mjinga sana kwa maana hiyo nje wapo na ndani wapo ila kajificha nyuma ya mlango
Sent using Jamii Forums mobile app
Meko huwa anadhani kavaa nguo kumbe anatembea uchiJamaa naye alizidi kujiamini kupitiliza ndio maana Meko uwa namshangaa sana kuwaita mabeberu na kujiamini wakati yupo nyuma ya mlango wa kuingilia ndani wakati wenzie wanafuatwa chumbani.
Na hilo ndo lengo la MarekaniKama ni kazi ya CIA basi it is strategic sana, wametarget wakijua kwa sasa regime haina mrithi wa caliber yake, ndugu zake wote alishawaua yeye mwenyewe. Maybe N.Korea itapata political and economic reforms sasa (if and only if.......)
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna adui wa US aliyewahi kutimiza lengo, ukiinua kichwa, kinafyekwa kabla hujatokaUS sio watu wazuri.ila kama kafa kweli basi lazima tu kiti chake atakalia kichwa kingine mpaka malengo yao ya kuunda silaha za nyuklia yatimie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hayo si maneno yangu ni kwa mujibu wa vyombo vya Habari vya kimataifaNaomba tu uwe na kumbukumbu ya maneno yako hayo maana siku zote muda ndiyo msema kweli.Utakapomuona tena Kim kwenye gwaride basi uje tena na huu uzi wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiduku yuko haiMkuu hayo si maneno yangu ni kwa mujibu wa vyombo vya Habari vya kimataifa
Sent using Jamii Forums mobile app
kwani kim ana uadui na US ?Hakuna adui wa US aliyewahi kutimiza lengo, ukiinua kichwa, kinafyekwa kabla hujatoka
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mawazo yako mkuu unadhani huyo aliyeuliwa Malaysia kaka yake na Rais Kim, aliuliwa na CIA?Walie fanikiwa kumuua ni yule ndg yake,waliyemuua pale uwanja wa ndege.
Kwa kuwa tumia wadada,waliokua hawajui chochote wakidhani mchezo,kumbe wanatekeleza mission.
Safari bado ndefu mengi yatasemwa.