CIA imetimiza mission North Korea?

CIA imetimiza mission North Korea?

Kim passed away
 

Attachments

  • 24D99420-E02E-4AB8-8B6F-128493D57A7E.MP4
    1.2 MB
Kufanyiwa operesheni ya moyo Rais wa Korea kaskazini, na kisha hali yake kusemekana ni mbaya au pengine amefariki Dunia ila Siri zinafichwa kwanza, inasemekana ni njama za Marekani.

Kwa mujibu wa CNN TV hali ya Rais Kim Jong Un ni mbaya mno, yuko mahututi, all in all, hakuna kosa ambalo Rais Kim alilifanya Kama kukutana na Rais Trump.

Slogan ya CIA ni "Get them close to you in order to have your task easily executed ".

Sent using Jamii Forums mobile app
Chuma kiko ngangari
20200426_233501.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni kazi ya CIA basi it is strategic sana, wametarget wakijua kwa sasa regime haina mrithi wa caliber yake, ndugu zake wote alishawaua yeye mwenyewe. Maybe N.Korea itapata political and economic reforms sasa (if and only if.......)

Sent using Jamii Forums mobile app
Inaweza kuwa kweli ama ni speculation tu maana pia inasemekana aliamua kukutana marekani tayali alishajua kuwa ana tatizo la kiafya sema alitaka kufanya mabadiliko kuifungua nchi yake kumbuka kuwa haya yalikuwa yanasukumwa na China pia, pamoja na hayo kingine kuna watu hardcore chini chini kuliko yeye viongozi wengi huwa hawana nguvu kama hawana watu wenye nguvu nyuma yao hao wa nyuma wasipobadilika hata akija nani atafuata script waliyoandika na yeye kuwa muigizaji tu
 
Back
Top Bottom