Chura ndo mpango?

Chura ndo mpango?

Ila wanawake mjitazame upya, thamani yenu inashuka kwa kasi ya ajabu kama sio imeshahit bottom kabisa. Unajua thamani ya kitu ukipate kwa kukisotea, hakika utakithamini. Hata shule utapigwa sup, mpaka ufaulu degree yako inakuwa na heshima. Simba, chui wawapo mawindoni wakiona mawindo hayakimbii wanashangaa sana na sometimes utaona wanafanya jitihada wachokoze ili mawindo yakimbie ili waonekane wamewinda. Sasa wewe nakutana nawe naomba namba ya simu jioni tunakutana bar usiku tunamalizana, kwa mtindo huo huwezi kaa kwenye akili yangu, yaani utatoka siku hiyo hiyo kesho yake najilaumu dah nimepiga ule mlupo kweli yaani nimekutana nae tu na kubanjua. Kesho mawindoni tena natafuta mwingine. Baneni basi miguu hiyoo at least tuone kuna ugumu
 
Maisha yanaenda kasi sana, mabadiliko ni makubwa sana. Nimewasikia wanaume wengi wakisifia chura za wadada, sijajua ninyi wakaka mnapendea nini chura. Ukiachana na hayo mimi leo nataka niwashauri wadada wenzangu, naomba ifike muda tujitambue na tutumie uzuri wetu vizuri. Kwanini wakaka wengi wanaishia kutuchezea? Hivi sisi kupewa hizi chura imekua tatizo? Tusipobadilika tutaishia kuzalishwa tu, wanaume wengi wanaishia kutoka na sisi bila kujua hatima yetu. Tuseme basi yatosha!
Hebu weka hyo chura tuone.yaliyo yamo?
 
Tukunyema aka wowowo, na sasa chura tena ya sasa ni mbaya Sababu kuna fake, huko ulaya wanawake wanafia mahospitalini kuongeza makalio. Wadada wanachukua loan za maana wakafanyiwe Brazilian lift up. Nawaonea huruma wazungu na vimbaumbau wao sie ngoja tu embrace big botae! Km la Cherokee. Kiukweli wanawake wa kiafrica wamependelewa ule mkia wa kondoo uzuri wake tunaujua sie wanaume peke yetu mtuache! Surprisingly wazungu wanafanya surgery kuongeza ukubwa wa lips ziwe km za dada zetu ndo wanasema wakuwa beautiful. Kuweni makini zaidi na wapenda mtandao pendwa alamsikh!
 
Back
Top Bottom