Chura ndo mpango?

Chura ndo mpango?

Maisha yanaenda kasi sana, mabadiliko ni makubwa sana. Nimewasikia wanaume wengi wakisifia chura za wadada, sijajua ninyi wakaka mnapendea nini chura. Ukiachana na hayo mimi leo nataka niwashauri wadada wenzangu, naomba ifike muda tujitambue na tutumie uzuri wetu vizuri. Kwanini wakaka wengi wanaishia kutuchezea? Hivi sisi kupewa hizi chura imekua tatizo? Tusipobadilika tutaishia kuzalishwa tu, wanaume wengi wanaishia kutoka na sisi bila kujua hatima yetu. Tuseme basi yatosha!
Wewe sema pele yako inatosha, wenzako ndio kwanza wametoka kwenye kioo wanapeleka punany zikanuswe
 
Kwani ww unataka mke?
Jibu ulichoulizwa mpendwa...

Niliposoma post yako nimeona una kitu cha kuwafunza wengne kama upo ndani ya ndoa au kama haupo pia ni vizuri kuwa mstari wa mbele ktk kujikubari na kuwa na msimamo madhubuti..

Kingne nilitaka niseme kama ungekubari kuwa umeolewa bhasi inawezekana mume kapata kalamba jike kama siyo dume..
 
Chura iko wapi hapo picha hamna weka picha hata 1.
 
Back
Top Bottom