Utambue Ugonjwa wa Shinikizo kubwa la Nyenge Mwilini (High Nyenge Pressure)

Nyamsusa JB

JF-Expert Member
Jul 9, 2015
568
1,562
Kutokana na kuongeza kwa tatizo hili la Shinikizo kubwa la Nyege Mwilini katika jamii zetu niliamua kufanya Utafiti ili kujua Nini Chanzo,Madhara na tiba yake.

Utafiti huu ni kama ufutavyo

(A): Maana na Chanzo cha Shinikizo kubwa la Nyege Mwilini (HNP=High Nyege Pressure)

Nyege ni ile hali ya kua na shauku ya kufanya mapenzi, kikawaida mtu huzaliwa na homoni zinazosababisha hamu ya kufanya mapenzi, kadri mtoto anavyokua kiwango cha uzalishaji wa homoni hii pia uongezeka.

Kwa watoto wa kike homoni hizi huanza kuzalishwa kwa wingi katika umri mdogo kulinganisha na wtoto wa kiume. Hivyo umri wa Balehe kati ya msichana na mvulana hupishana.

Kwa kawaida katika umri wa balehe msichana/mvulana hubadilika kimaumbile na homoni hii isababishayo nyenge huzalishwa kwa wingi sana na hapa Wazazi au walezi tunapaswa kujua na kuwasaidia watoto wetu.

Kwa watu wazima wengi Nyenge kama haijajokozwa hua ipo kwa kiasi cha kawaida na huweza kudhibitika kirahisi.

Kwa siku hizi kuna matukio mengi ya ajabu ajabu yatokanayo na watu kua na shinikizo kubwa la Nyege mwilini au Nyege Mshindo au High Nyege Pressure (HNP) na hii ndio sababu ya mimi kufanya utafiti huu.

Kuna sababu nyingi ambazo zinasababisha watu kua na tatizo hili la Shinikizo kubwa la Nyege mwilini (HNP), miongoni mwa visababishi ni kama ifuatavyo.

· Mavazi yanayobana sana mwili
Hii ni kwa pande zote, Mwanamke/Mwanaume tumeona siku hizi vijana wengi hupendelea kuvaa nguo za kubana sana, mavazi haya hasa Suluali, Bikin nk, husugua ule msuli tatanishi unaotenganisha Uchi na Sehemu ya haja kubwa, huu msuli tatanishi unaposuguliwa huwa unaamsha hisia na kufanya mwili kutema homoni nyingi inayosababisha mtu kua na Shinikizo kubwa la Nyege mwilini.

Pia kuna mavazi chonganishi hasa kwa wanawake, mavazi yanayo acha wazi maeneo ya milipuko kama mapaja,matiti, mavazi yanayo chora mwili mpaka figa yote ya kibubu inaonekana huchochea hisia kali kwa wanaume na hujikuta wanashikwa kwa Nyege High Pressuere (NHP)

· Baadhi ya Vyakula, Dawa na Pombe
Vyakula kama Karanga mbichi,Mihogo mibichi,Pombe, Dawa nk. Kwa baadhi ya watumiaji wa vitu hivi husababisha kuzalisha kwa wingi homoni inayosababisha Nyenge na vikitumika kwa wingi basi HNP itahusika.

· Kutofika kileleni/Kutofanya Mapenzi kwa muda mrefu (Kwa watu wazima tu)
Hii pia imekua kwa kasi sana hasa kwa wanawake hawafikishwi kileleni kwa muda mrefu, hii huwasababishia mlundikano wa Nyenge kwa muda mrefu na mwisho wake wanashikwa na huu ugonjwa wa High Nyege Pressure. Kwa upande wa wanaume ni kutoridhishwa ama kutoridhika na ubunifu wa wake au wapenzi wao kwa muda mrefu hivo na wao kujikuta kwenye hii hali ya NHP.
Pia kuna watu wanaishi kigumu bila kuwa na wapenzi kwa muda mrefu bila kujua wanajitafutia kua na hili tatizo la NHP (Nyege Mshindo)

· Kutazama Picha za Ngono na Utupu
Hii pia imekua ni sababu mojawapo katika huu ugonjwa, watu wanaangalia Porn alafu hawana hata wapenzi mwisho wa siku wanajikuta na hili tatizo la NHP.

· Combo Factor
Hii ndo hatare yaani ni sababu jumuishi, yaani mtu kala Karanga mbichi,mihogo mibichi kashushia na pombe kavaa nguo ya kubana (msuri umechokozwa),kaona binti ana Chura wa kutosha na kavaa nguo inachora kibumbu chote, au kava kimini cha hatare paja zote nje alafu yeye mwenyewe hana mweza wakupunguza machungu huyu si lazima abake tu maana shinikizo lake la Nyege halizuiliki (Extra High Nyege Pressure) .

(B): Madhara ya Ugonjwa huu wa Shinikizo kubwa la Nyege Mwilini (NHP)

Madhara ya Shinikizo kubwa la Nyege Mwilini au Nyege isiyodhibitika ni mengi na makubwa katika jamii yetu. Mtu akishikwa na hili tatizo uwezo wa akiri yake kufanya maamuzi kwa busara hupungua mno. Na madhara mengi yanatokea pale Mhanga anapojaribu kutafuta tiba ya tatizo lake

- Ubakaji na Mimba za Utotoni

Matukio ya ubakaji yameongezeka sana kutoka na watu kushindwa kuzuia tama zao kutokana na kuungua au kushikwa na huu ugonjwa wa Nyege High Pressure.

Watu wazima wanajikuta wanabaka watoto wadogo wakidhani tatizo lao la kulizika litaisha na kusababisha tatizo la Mimba za Utotoni kwa watoto hao sambamba na maambukizi ya magonjwa ya zinaa kwa watoto hao.

- Kuvunjika kwa Ndoa na Uaminifu kwenye Ndoa hupungua
Ndoa nyingi zimevunjika kutokana na tatizo hili la Nyege High Pressure, wanandoa wanachepuka katika hali ya kutaka kupata tiba ya shinikizo kubwa la nyenge mwilini na matokeo yake ni kuvunjika kwa ndoa au kupata matatizo mengine ya uchepukaji kama magonjwa ya zinaa nk.

- Kushuka kwa Maadili ya Mavazi na Uvaaji kwa Wanawake (Watu Wazima Tu)
Wanawake wengi leo hawavai nguo zinazositili sio kosa lao tatizo ni kuwa hajakojoleshwa muda mrefu na hivyo kujikuta wana tatizo hili la Nyege High Pressure sasa katika kutaka kujitibu wanajikuta wakitafuta mbinu za kutamanisha ili na eye siku moja apate wa kumfikisha kileleni.

- Mtu kuwa Mkali Mkali bila Sababu maalumu
Hili tatizo pia husababisha baadhi ya watu kuwa wakali wakali bila kua na sababu maalumu ya kuelezeka, pia hukosa utulivu, hawajiamini, hawatuliitulii na wanakua na mchecheto kukosa usingizi nk. Ufanisi wa utendaji kazi wao hupungua na mwisho wanajikuta wapo kwenye mataizo katika kazi zao. Kwa mwanafunzi ndio hata masomo hayaendi tena na wala haambiliki tena.

C: Tiba ya Tatizo Hili la Shinikizo la Nyege Mwilini.
Ili utibike ni vizuri ukajua tatizo lako la Nyege High Pressure linasababishwa na nini (Baadhi ya vyanzo nimevitaja hapo juu). Lakini hapa ninakupa Tiba ya jumla, yaani Basic Treatment ya Nyenge High Pressure.

1. Usiluhusu akiri yako kukaa bila kazi
Wanasema idle Mind is the Devil Workshop, akili isiyoshugulishwa ni kalakana ya Shetani, mara nyingi akiri isiposhugulishwa huwa inafikiria ngono tu kwa kiasi kukibwa na mwisho wa siku mhusika anajikuta kashikwa na ugonjwa huu hatari wa NHP.

2. Fanya Mazoezi mara kwa mara
Kufanya mazoezi kunapunguza kiwango cha uzalishaji wa homoni isababishayo Nyenge na hivyo kukuepusha wewe dhidi ya mlundikano wa Nyege mwilini.


3. Usivae Nguo za Kubana Sana Mwili hasa Nguo za Chini.

Ili msuli wako tatanishi usisuguliwe na kuamsha Homoni za nyege nakushauri usipende kuvaa nguo zinazobana sana mwili, nguo kama bikin, suruari za kubana sio nzuri na rafiki kwa homoni zako za Nyenge.

4. Kutafuta Mbinu za kumfikisha Kileleni mwenza wako (Kwa watu wazima tu)
Tuwe wabunifu wa kupiga show za uhakika ili kuepusha wapenzi wetu wasipatwe na NHP. Huna sababu z kuishi kigangsta kumbuka na wewe una homoni za Nyege vilevile na zinachokozwa bila wewe kutaka.

5. Usizichokoze Homoni za Nyege
Usipende kuangalia Picha za Ngono na za Utupu kumbuka Nyege hazijaribiwi na hazijawahi kushindwa na hatashindwa kama zikichokozwa.

6. Wadada mtuhulumie sisi wanaume ni wadhaifu tukionyeshwa (Mvae Vizuri)
Hii hata Mfalume Daudi ilimsibu akajikuta kwenye tatizo la NHP, Wanawake tunawaombeni mjistili jamani mtatuua na hili Shinikizo kubwa la Nyege Mwilini kwa Mavazi yenu.

7. Maoimbi ya kuishinda Zinaa
Zinaa ndio Zambi ngumu kuiepuka, tuombe na tuombeane tuishinde zambi hii vinginevyo hili tatizo la Nyege Hihg Pressure ni gumu mno kulishinda kwa akili zetu wenyewe. Amen.



Karibu Tusaidiane Kutatua Tatizo hili la NHP.
 
Enendeni duniani mkaijaze(mkazaliane), na chanzo cha hayo yote ni nyege
 
Hili kweli nilishawahi kuliona kwa Mhe mmoja wa kike lakini baadae lilifanyiwa kazi na mambo yakaenda sawa.
 
Back
Top Bottom