mchuziwapweza
Senior Member
- Aug 19, 2018
- 107
- 149
Maisha yanaenda kasi sana, mabadiliko ni makubwa sana. Nimewasikia wanaume wengi wakisifia chura za wadada, sijajua ninyi wakaka mnapendea nini chura. Ukiachana na hayo mimi leo nataka niwashauri wadada wenzangu, naomba ifike muda tujitambue na tutumie uzuri wetu vizuri. Kwanini wakaka wengi wanaishia kutuchezea? Hivi sisi kupewa hizi chura imekua tatizo? Tusipobadilika tutaishia kuzalishwa tu, wanaume wengi wanaishia kutoka na sisi bila kujua hatima yetu. Tuseme basi yatosha!