Chupuchupu Kubakwa, Ukimwi Ulinisaidia

Chupuchupu Kubakwa, Ukimwi Ulinisaidia

Hii inawezekana kumbe eh!

Hamjuani na kuweza kufanya yote hayo!
 
Asee wrong number inapiga napokea tunakutana nakula nashiba naenda kwake jitu silijui hiv hata mshipa haukukugonga???? Kama ungejituliza kwenu yasingekukuta mshukur mungu ila next time kua makin hiv unawezaje kunyanyua mguu mosi mguu pili had kwa mtu humjui kisa dinner??? Kwa kweli tupo tofauti sanaa. Wewe ni tamaa tu zilikuponza ulikua na mda gan hujatolewa dinner my dear???

Yaani hii ni maji mara moja, maharage ya mbeya magumu, huyu mwenzetu ni biscuit
 
Hii ni Hadithi Ya Kutunga, na kama ni ya Kweli Inakupasa Ukapimwe Akili...
 
Ulijitakia angekubaka tu kidogo...msosi umekula,bia umekunywa papuchii unagoma kutoa
 
inawezekana hakuwa na lengo la kukubaka bt mavazi yako ndo yaliyompa hayo mawazo...WASICHANA JIFUNZENI KUVAA ESPECIALLY UNAPOKUA MAZINGIRA HATARISHI.....
 
Asee wrong number inapiga napokea tunakutana nakula nashiba naenda kwake jitu silijui hiv hata mshipa haukukugonga???? Kama ungejituliza kwenu yasingekukuta mshukur mungu ila next time kua makin hiv unawezaje kunyanyua mguu mosi mguu pili had kwa mtu humjui kisa dinner??? Kwa kweli tupo tofauti sanaa. Wewe ni tamaa tu zilikuponza ulikua na mda gan hujatolewa dinner my dear???

Story ya kutunga hii
 
hizi ni shida za kuwa na mapepo mahaba na roho ya tamaaa angekuwa ni mtu mchapkazi angekuwa na pesa ya kujinunulia dinner na bia mbili ilanimichezo aliyo zoea angebaki historia huyo
 
Back
Top Bottom