Chupuchupu Kubakwa, Ukimwi Ulinisaidia

Chupuchupu Kubakwa, Ukimwi Ulinisaidia

Ndio maana kila siku tunadharaulika kumbe kwa ajili yenu watu kama nyie. Mtu anakupigia simu humfa hamu kisha unakubali kwenda anapokuita, mnakula, mnakunywa kisha kwake khaaaa!!!! Unajuaje kama ni mchuna ngozi, mbakaji, muuza viungo vya binadamu???

Mbuta haitokaa itokee aisee!!! Yaan ningefurahi kama angekufededa nyuma na mbele ili iwe fundisho!
 
ushukuru hujabakwa lakini hata ungebakwa wa kukuhurumia wangekuwa wachache. Unajiingizaje mzimamzma kwa mtu ambae humjui kiasi hicho!?
 
Ni kwel nilikosea lakini nimejifunza kitu kupitia kosa langu. Nashukuru nilitoka salama..siwez rudia tena vile...!"
 
Asee wrong number inapiga napokea tunakutana nakula nashiba naenda kwake jitu silijui hiv hata mshipa haukukugonga???? Kama ungejituliza kwenu yasingekukuta mshukur mungu ila next time kua makin hiv unawezaje kunyanyua mguu mosi mguu pili had kwa mtu humjui kisa dinner??? Kwa kweli tupo tofauti sanaa. Wewe ni tamaa tu zilikuponza ulikua na mda gan hujatolewa dinner my dear???

naona alikuwa in a sexymood nahisi hakumpenda na kuvutiwa nam
jamaa koz in real life na kama unajielewa na kujijali huezi kubali ofa MTU humjui wala hujawahy kumuona hapo aliexpect to meet a hunk guy na mengine yataendelea.sasa alipokuta hajavutiwa akataka asepe.ila ana bahaty
 
such a slut.punta del hijo.ukamvalia na kigaun mapaja wazi a stranger??nlipoambiwa nisije penda mwanamke anakunywa pombe ndio hapa naona maana yake.koz hapo alikua na ham ya lager akakosa sasa jamaa alipojitokeza hakutaka poteza nafasi.mkeo akiwa mpenda pombe utagongewa lazima tu!
 
Na usirudieeee...... ole wako

I won't.. Asante kwa wote mliocomment mawazo yenu hapa kumbukeni akili hatufanani..Mimi nakosolewa hapa mnaona wengine ndo wanafanya..jiahadharini...hlf pia Mimi sio Malaya.
 
Ndio maana kila siku
tunadharaulika kumbe kwa ajili yenu watu kama nyie. Mtu anakupigia simu
humfa hamu kisha unakubali kwenda anapokuita, mnakula, mnakunywa kisha
kwake khaaaa!!!! Unajuaje kama ni mchuna ngozi, mbakaji, muuza viungo
vya binadamu???

Mbuta haitokaa itokee aisee!!! Yaan ningefurahi kama angekufededa nyuma
na mbele ili iwe fundisho!

mkuu nikisema cheap ladies humu natukanwa. huu ni ujinga kupenda ofa kama....................
 
mh...pole mwaya ila punguza nyege za kumuamini mwanaume siku ya kwanza
 
Habar ya humu wadada na wakaka... Wakubwa na wadogo kwa ujumla..
Nimekumbuka hili tukio lililonitokea kitambo kidogo japo si sana lakini bado nakumbuka na ningependa kushare na ninyi hapa..najua jf ina watu wengi na wa umri mbalimbali tunaweza kusaidiana kinamna moja ama nyingine"..

Nakumbuka siku ya tukio nilipokea simu namba mpya na jamaa alijitambulisha kama "Michael", sikumfahamu awali ila aliniomba niwe mpole atanifahamu polepole na jioni yake aliniomba tule dinner wote sikubisha!".. Jioni ya saa moja niliweka mambo yangu vizur na kujiandaa mpaka saa mbili Tayar kulikuwa Giza,nikajivalia kigauni cha usiku kilichoacha sehemu kubwa ya mapaja yangu wazi!.nilichukua pikipiki mpaka sehemu husika (jina sipakumbuki vizuri), baada ya kushuka kwel nilimuona lkn bado sikumfahamu..tulikaa sehemu kuna kagiza taa kwa mbali hatukuongea sana akaniuliza ntakula nn nikamwambia..chakula kikaletwa tukala tukashiba akaniambia hakai mbali na pale tulipo ivo twende kwake aliniandalia kinywaji..nikakubali tukaenda. Kiukwel hapakuwa mbali kama kupanga basi alijipanga vyema...
Tulipofika aliniwekea Bia mbili za Safari baridi..sikuwa na mzuka sana siku hiyo na ivo alitegemea ningelewa mpaka nisijiweze lkn haikuwa ivo kwan zile bia zilinifanya niwe na nguvu zaid..baada ya mda kwenda ilitimu saa nne nikamuomba kuondoka ndo tatizo lilipoanzia hapo...akataka tufanye mapenzi tena kwa lazima nikagoma...tulibishana na kuvutana akaona namzid nguvu huku mda unazid kwenda...mungu anisamehe maana nilipata wazo la kumcoma kisu nikimbie lkn alilock mlango na ufunguo akautupa chini ya uvungu..baada ya mda nilisikia anaongea na simu aliporud akaniambia si najifanya mjanja sitaki kumpa papuchi basi nitaitoa kwa lazima..mara nilisikia group la wanaume weng kwa nnje wakigonga wafunguliwe hapo pombe yote ilipotea kichwan nikajikuta nasmile huku nawaza cha kufanya..nilimvuta taratibu nikamuigizia uwoya haoni ndani...nilimbembeleza kama motto kwa sauti ya kimahaba sana huku machozi yakinitoka..nilisingizia ukimwi huku namuangalia usoni kama kwel vile..alinyong'on yea akaniamni.aliwatoa wale wanaume akanirudisha nilipokuwa nakaa saa tano akinishukuru njia nzima.nilifika na kulala tu...

Wanaume nawaheshimu lkn sijui nawaonaje..bado weng wenu mnatakiwa kujifunza mengi juu ya mwanamke...ni kiumbe adimu hlf mapenzi sio amri ni hisia .kwa wale wapenda ofa na kukutana na mastrangers angalieni sana yasijetokea puani.
Usikuni mwema.

Dah
Ulipata bwana domozipu au?
 
Hii ni stori tu watu wapige nduru...
 
Mh kamalaya tuu haka. A total stranger eti mpaka kwake unaenda kisa kakuandalia kinywaji!
Halaf walikudo tu, vijana walioko tayari kupiga mande kawaida hawajali.

Kwani hapo walipokula dinner kulikuwa hakuna vinywaji kama suala ni kinywaji? hao walikubaliana mambo yao tu!
 
Wewe huna akili kabisa unamwambia nani awe makini kama si wewe ndio uwe makini hata hhaya huna??? Unapigiwa simu number huijui unakuatana na mtu humjui the same day unakwenda kwake bila hata mshipa wa fahamu kushituka ama kweli akili ndogo sana hii....
 
Dah! mpaka anajuta kulileta hapa akili zingine bwana, kimini alivaa ili kumvutia michael jamani, kwa bahati nzuri naye akavutika
 
Back
Top Bottom