Chupuchupu Kubakwa, Ukimwi Ulinisaidia

Chupuchupu Kubakwa, Ukimwi Ulinisaidia

Wewe huna akili kabisa unamwambia nani awe makini kama si wewe ndio uwe makini hata hhaya huna??? Unapigiwa simu number huijui unakuatana na mtu humjui the same day unakwenda kwake bila hata mshipa wa fahamu kushituka ama kweli akili ndogo sana hii....

Jamani amefanya nini ? Kwani ni nani am aye ni Msafi? Hukuwahi kukosea wewe? Hebu tusiwe tunahukumu watu ,kwa kuwa na wewe pia utahukumiwa. Anaye hukumu ni Mungu peke yake, Jamani hebu tujitahidi kutohukumu na kutoa sentensi zenye maumivu. Huyu Dada alikuja kushare na sisi ili tupate fundisho just incase kama na sisi yakija kutukuta . Sasa kosa lake liko wapi? Alishajua kuwa alikosea sehemu ,na hakutaka na sisi tuje kukosea, sasa tatizo liko wapi. Yaani mbona binadamu hatupendeki? Hebu tujirekebishe . Asante!
 
Ni kwel nilikosea lakini nimejifunza kitu kupitia kosa langu. Nashukuru nilitoka salama..siwez rudia tena vile...!"

Don't worry my dear it is well. Hakuna aliye msafi hapa kuna wengine wamefanya mabaya zaidi ya hilo lilokukuta wewe, so what . Living without to do a mistake is not a really life , we are all learn from our mistakes, that's why we are human beings and not God. Only God can judge not them ,me or anybody else. Who are they? So dear it is okay , and thank you for warning us , because myself I absolute learned something new from you my dear . So worry out , have a peace in your heart . Thanks.
 
Habar ya humu wadada na wakaka... Wakubwa na wadogo kwa ujumla..
Nimekumbuka hili tukio lililonitokea kitambo kidogo japo si sana lakini bado nakumbuka na ningependa kushare na ninyi hapa..najua jf ina watu wengi na wa umri mbalimbali tunaweza kusaidiana kinamna moja ama nyingine"..

Nakumbuka siku ya tukio nilipokea simu namba mpya na jamaa alijitambulisha kama "Michael", sikumfahamu awali ila aliniomba niwe mpole atanifahamu polepole na jioni yake aliniomba tule dinner wote sikubisha!".. Jioni ya saa moja niliweka mambo yangu vizur na kujiandaa mpaka saa mbili Tayar kulikuwa Giza,nikajivalia kigauni cha usiku kilichoacha sehemu kubwa ya mapaja yangu wazi!.nilichukua pikipiki mpaka sehemu husika (jina sipakumbuki vizuri), baada ya kushuka kwel nilimuona lkn bado sikumfahamu..tulikaa sehemu kuna kagiza taa kwa mbali hatukuongea sana akaniuliza ntakula nn nikamwambia..chakula kikaletwa tukala tukashiba akaniambia hakai mbali na pale tulipo ivo twende kwake aliniandalia kinywaji..nikakubali tukaenda. Kiukwel hapakuwa mbali kama kupanga basi alijipanga vyema...
Tulipofika aliniwekea Bia mbili za Safari baridi..sikuwa na mzuka sana siku hiyo na ivo alitegemea ningelewa mpaka nisijiweze lkn haikuwa ivo kwan zile bia zilinifanya niwe na nguvu zaid..baada ya mda kwenda ilitimu saa nne nikamuomba kuondoka ndo tatizo lilipoanzia hapo...akataka tufanye mapenzi tena kwa lazima nikagoma...tulibishana na kuvutana akaona namzid nguvu huku mda unazid kwenda...mungu anisamehe maana nilipata wazo la kumcoma kisu nikimbie lkn alilock mlango na ufunguo akautupa chini ya uvungu..baada ya mda nilisikia anaongea na simu aliporud akaniambia si najifanya mjanja sitaki kumpa papuchi basi nitaitoa kwa lazima..mara nilisikia group la wanaume weng kwa nnje wakigonga wafunguliwe hapo pombe yote ilipotea kichwan nikajikuta nasmile huku nawaza cha kufanya..nilimvuta taratibu nikamuigizia uwoya haoni ndani...nilimbembeleza kama motto kwa sauti ya kimahaba sana huku machozi yakinitoka..nilisingizia ukimwi huku namuangalia usoni kama kwel vile..alinyong'on yea akaniamni.aliwatoa wale wanaume akanirudisha nilipokuwa nakaa saa tano akinishukuru njia nzima.nilifika na kulala tu...

Wanaume nawaheshimu lkn sijui nawaonaje..bado weng wenu mnatakiwa kujifunza mengi juu ya mwanamke...ni kiumbe adimu hlf mapenzi sio amri ni hisia .kwa wale wapenda ofa na kukutana na mastrangers angalieni sana yasijetokea puani.
Usikuni mwema.

Thank you for your topic , na pole kwa yaliyokukuta dear . Usijali just Shukuru Mungu kwa kukukomboa from that incident . Thanks.
 
I won't.. Asante kwa wote mliocomment mawazo yenu hapa kumbukeni akili hatufanani..Mimi nakosolewa hapa mnaona wengine ndo wanafanya..jiahadharini...hlf pia Mimi sio Malaya.

Mimi nakuamini sio Malaya . Heri yako wewe ambaye umekiri na ukawa tayari kuwa wengine Mwanga ili wasije ya kutukuta . Nyie mnaosema huyu Dada ni Malaya what about wakina Dada wengineo wenye mabwana zaidi ya wawili au wakina kaka ambao mna wanawake zaidi ya wawili plus mwingine ni mke/ mume Wa MTU na hamjawahi hata siku moja kukiri na kuacha mnayoyafanya . Hebu tuache kumsimanga Mtoto Wa watu utafikiri kama sisi tuwasafi zaidi yake. Dada amekosa , amejua kosa lake , amekiri na amekuja hapa kutusaidia yaani sisi watz sijui tukoje always PHD aka Put her down . Lini tunaweza kawa PHU aka put her up. Tufikirie please. Na tuwe na makini tunachochangia . Asante!
 
such a slut.punta del hijo.ukamvalia na kigaun mapaja wazi a stranger??nlipoambiwa nisije penda mwanamke anakunywa pombe ndio hapa naona maana yake.koz hapo alikua na ham ya lager akakosa sasa jamaa alipojitokeza hakutaka poteza nafasi.mkeo akiwa mpenda pombe utagongewa lazima tu!

If she is a slut what about yourself? Please watch your language please . You are more than her. Thanks!
 
Wewe ni wa kuliwa tu , tena pichu ungevua mwenyewe huyo jamaa alikuwa boya tu.
 
chakula choote na vinywaj apo vilikata tena njaa ikaja kali zaid ya ungetulia nyumbani
 
Ukimwi utaishaje sasa?mtu humjui unaenda hadi kwake kufata nini....ulikuwa unawashwa si bure
 
Ni kwel nilikosea lakini nimejifunza kitu kupitia kosa langu. Nashukuru nilitoka salama..siwez rudia tena vile...!"

Kwa kweli uache kabisa kabisa katabia kakupenda vya bure,inaelekea ndo tabia yako na jamaa alikuwa na full data zako ndo maana naye aliamua kukufanyia hivyo na kifupi alikupangia akukomeshe ndo maana aliandaa na kikosi kabisa,shukuru alipigwa upofu na Mungu,yaani mshukuru Mungu kwa huo muujiza na utulie kabisa subir ikifika wakati wako utampata wako.
 
Hizi ndo akili za kike aisee. Nimeamini kuna wivu wa kike. Khaaa
 
kuna madada wengine ni wajinga,ni mzigo kwa familia,jamii nchi na dunia nzima, yaani wewe mtu humjui kwa vile umeskia dinner tamaa chafu inakujaa unaenda kukutana na mtu usiyemfahamu kwa vile kakwambia anakutoa dinner,menyu na vinywaj vinakutoa kwako. Fanya kazi kwa bidii upate hela yako mwenyewe na uache tamaa za kipumbavu. Mtu humjui unaenda kama mbuz, next time utapewa na ukimwi kwa tama za kipumbavu, funny enough anakambia twende kwangu na wewe unaenda,daaah, wewe ni mzigooo
 
how com mnajitoa ufaham kumeet na strangers kiasi hicho? hapo alitumia nguvu ya kawaida tu imagine angekuwekea madawa,angetumia silaha? wenzio washatiwa kinguvu kwa kushikiwa bastola na mtu wanayemjua kashaukwaa,penda offer ushikishwe ukuta kubakwa mnajitakia
 
kuna madada wengine ni wajinga,ni mzigo kwa familia,jamii nchi na dunia nzima, yaani wewe mtu humjui kwa vile umeskia dinner tamaa chafu inakujaa unaenda kukutana na mtu usiyemfahamu kwa vile kakwambia anakutoa dinner,menyu na vinywaj vinakutoa kwako. Fanya kazi kwa bidii upate hela yako mwenyewe na uache tamaa za kipumbavu. Mtu humjui unaenda kama mbuz, next time utapewa na ukimwi kwa tama za kipumbavu, funny enough anakambia twende kwangu na wewe unaenda,daaah, wewe ni mzigooo

Atakuwa naye ni Member Mzigo wa JF.
 
Kuna watu wanacomment kama wana stress za kuachika.
Mfyuuuu
 
Back
Top Bottom