Chupuchupu Kubakwa, Ukimwi Ulinisaidia

Chupuchupu Kubakwa, Ukimwi Ulinisaidia

Sweetcandle

Member
Joined
Oct 24, 2014
Posts
35
Reaction score
15
Habar ya humu wadada na wakaka... Wakubwa na wadogo kwa ujumla..
Nimekumbuka hili tukio lililonitokea kitambo kidogo japo si sana lakini bado nakumbuka na ningependa kushare na ninyi hapa..najua jf ina watu wengi na wa umri mbalimbali tunaweza kusaidiana kinamna moja ama nyingine"..

Nakumbuka siku ya tukio nilipokea simu namba mpya na jamaa alijitambulisha kama "Michael", sikumfahamu awali ila aliniomba niwe mpole atanifahamu polepole na jioni yake aliniomba tule dinner wote sikubisha!".. Jioni ya saa moja niliweka mambo yangu vizur na kujiandaa mpaka saa mbili Tayar kulikuwa Giza,nikajivalia kigauni cha usiku kilichoacha sehemu kubwa ya mapaja yangu wazi!.nilichukua pikipiki mpaka sehemu husika (jina sipakumbuki vizuri), baada ya kushuka kwel nilimuona lkn bado sikumfahamu..tulikaa sehemu kuna kagiza taa kwa mbali hatukuongea sana akaniuliza ntakula nn nikamwambia..chakula kikaletwa tukala tukashiba akaniambia hakai mbali na pale tulipo ivo twende kwake aliniandalia kinywaji..nikakubali tukaenda. Kiukwel hapakuwa mbali kama kupanga basi alijipanga vyema...
Tulipofika aliniwekea Bia mbili za Safari baridi..sikuwa na mzuka sana siku hiyo na ivo alitegemea ningelewa mpaka nisijiweze lkn haikuwa ivo kwan zile bia zilinifanya niwe na nguvu zaid..baada ya mda kwenda ilitimu saa nne nikamuomba kuondoka ndo tatizo lilipoanzia hapo...akataka tufanye mapenzi tena kwa lazima nikagoma...tulibishana na kuvutana akaona namzid nguvu huku mda unazid kwenda...mungu anisamehe maana nilipata wazo la kumcoma kisu nikimbie lkn alilock mlango na ufunguo akautupa chini ya uvungu..baada ya mda nilisikia anaongea na simu aliporud akaniambia si najifanya mjanja sitaki kumpa papuchi basi nitaitoa kwa lazima..mara nilisikia group la wanaume weng kwa nnje wakigonga wafunguliwe hapo pombe yote ilipotea kichwan nikajikuta nasmile huku nawaza cha kufanya..nilimvuta taratibu nikamuigizia uwoya haoni ndani...nilimbembeleza kama motto kwa sauti ya kimahaba sana huku machozi yakinitoka..nilisingizia ukimwi huku namuangalia usoni kama kwel vile..alinyong'on yea akaniamni.aliwatoa wale wanaume akanirudisha nilipokuwa nakaa saa tano akinishukuru njia nzima.nilifika na kulala tu...

Wanaume nawaheshimu lkn sijui nawaonaje..bado weng wenu mnatakiwa kujifunza mengi juu ya mwanamke...ni kiumbe adimu hlf mapenzi sio amri ni hisia .kwa wale wapenda ofa na kukutana na mastrangers angalieni sana yasijetokea puani.
Usikuni mwema.
 
pole sana siku nyingine kuwa makini...wangekuingikia hadi maskioni hao.
 
Asee wrong number inapiga napokea tunakutana nakula nashiba naenda kwake jitu silijui hiv hata mshipa haukukugonga???? Kama ungejituliza kwenu yasingekukuta mshukur mungu ila next time kua makin hiv unawezaje kunyanyua mguu mosi mguu pili had kwa mtu humjui kisa dinner??? Kwa kweli tupo tofauti sanaa. Wewe ni tamaa tu zilikuponza ulikua na mda gan hujatolewa dinner my dear???
 
Ulikubali vipi kuonana naye kisha kwenda kwake ilhali humjui?

Sikupi pole.
 
Kumbe niwewe ndoulienipa jeraha skuele..!
Naumeona haitoshi, umekuja kunianzishia na uzi huku jf?
 
Umalaya tu. Huenda hata mavazi yako ulio kuwa umejiandaa kumkamata yalichangia. mtu humjui-unafukamia vitu vyake!!! Tiyari umeenda kwake tena usiku-Looh. Angekuomba game kesho yake- fasta tu. Je ulienda polisi? Au kama kawaida yako ulicheza Fair Game?
 
Wewe mwenywe ni cheap - wewe mtu tu anakupigia simu humjui umeishatoka na ' kigauni kimeacha mapaja wazi' ikisha una kuja na story kuwa wewe ndio umeonewa. acha tamaa ya kutaka vya bure au ukila vya watu lipa tu bila ya kuleta malamishi yasio na maana hapa.
 
Huyu mwanamkw MALAYA SAANA,haingii akilini huna uhakika na anae kuiya then unaenda na kagauni so what??eti nikaacha mapaja. ili nini???Acha umalaya utakugharimu saaana
 
Ni htr cku moja ufike mpm kwake wengine hatunaga hrk za hivyo ww co mwogap
 
Hahahaha!! sasa jamaa angemjibu kuwa hata yeye pia ana ukimwi hivyo haina shida sijui angejitetea kwa style gani?
 
JF kuna wataalam wa kutunga!!!

una uongo huu!
et, unknown phone number, nikapokea akajitabulisha akasema anaitwa michael, tokaorganize jioni tukutane kikavaa siketi fupi mapaja nje nje, nikachukua boda boda, mara sijui bia mbili, mara ndani, mara anataka papuchi. vyooo!

kwanza hapo tu ni asilimia mia moja ni kutunga
 
JF kuna wataalam wa kutunga!!!

una uongo huu!
et, unknown phone number, nikapokea akajitabulisha akasema anaitwa michael, tokaorganize jioni tukatane kikavaa siketi fupi mapaja nje nje, nikachukua boda boda, mara sijui bia mbili, mara ndani, mara anataka papuchi. vyooo!

kwanza hapo tu ni asilimia mia moja ni kutunga

Ahhhaaaaa
 
Mwenzako alishaambukizwa ukimwi kwa kusingizia ana ukimwi.
Walitekwa wakiwa kwenye gari ndogo, wakaanza mchakato wa kubakwa baada ya kuvuliwa nguo zote ili kuwapora. Mmama akasingizia ana ngoma matokeo yake jambazi likamuita jambazi mwingine ambaye naye kaathirika ili ambake huyo mama. Kelele za kukiri kudanganya hazikufua dafu.
 
Dada poa Huwa habakwi,huyo Jamaa naye ni mshamba.Wewe ulikuwa unajiuza ila jamaa alikosea tu stepu,alitakiwa akuulize bei akupe hela halafu afanye yake

Natarajia utaniuliza kwanini nimekuita dada poa
 
Back
Top Bottom