Umenikumbusha mbali wakati nipo o level nlikuwa navaa pensi ndani ya sketi ya shule
siku moja nikakaa vibaya mbele ya kadamnasi pensi hiloooo watu walicheka
mi aibu kilo mbili
Nlikuwa nimekaa nje kwenye kiukuta kifupi mguu mmoja juu mwingine chini
sema nlikuwa nimevaa pensi la jeans hawakuona papuchi
ingekuwa ni lile pensi kama la yanga sijui tu siku hiyo.....