Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,974
- 13,429
- Thread starter
-
- #201
Nilikuwa nakoga halafu ile chu pi ikaangukia ktk yale maji baada ya kujimwagia. Nimejua ni ya kwake kwasababu ni G-string na yeye yuko peke yake kwa sasa. Nalog offL.o.l.... tuachane na bifu la wife... wewe ulitoka wapi kushika michupi ya watu, wewe huna kinyaa! Na ulijuaje ni ya huyo bibie...
Nashukuru kwa majibu yako. Nalog offKaka umekosea ungeachana nao tu hiyo chupi kisha unalog off
Na hapo hapo mke wako akaingia??? we kuna kitu ulikua unafanya kwa kutumia hiyo chupi, mke wako akaskia ukianza kutoa sauti ndio akaja kuona kama uko peke yako akakukuta na chupi mkononi!Nilikuwa nakoga halafu ile chu pi ikaangukia ktk yale maji baada ya kujimwagia. Nimejua ni ya kwake kwasababu ni G-string na yeye yuko peke yake kwa sasa. Nalog off
Nguo yenyewe ni G-string nyekundu ilikuwa imetundikwa nyuma ya mlango wa hiki choo,mlango ulipigwa na upepo na kuiangusha hii nguo. Nalog offLabda unaweza kuidescribe hiyo nguo ilivyokuwa?
Hapana hakuna kitu nilichokuwa nikifanya ila my wife wangu alikuwa ananiletea Rununu yangu iliyokuwa ikiita ili niipokee. Nalog offNa hapo hapo mke wako akaingia??? we kuna kitu ulikua unafanya kwa kutumia hiyo chupi, mke wako akaskia ukianza kutoa sauti ndio akaja kuona kama uko peke yako akakukuta na chupi mkononi!
Nashukuru kwa kunipa pole,ila naomba mnipaishe basi ktk hiyo movie yenu. Je? Jina la movie litaitwaje ili munipe copy moja? Nalog offImekaa vizuri hiyo ngoja nifanye additional kwa script niliyokuwa naandika nimpelekee kanumba asante mkuu matatizo yako yanatusaidia kula .
kwa upande mwingine nikupe pole maana yanatokea mtaani.
nashukuru kwa ushauri wako chanya.Nalog offDuu!! Pole xn bro, lkn huenda ulisha muonesha hali ya kuto kuwa mwaminifu kabla, labda jaribu kwenda kuwaeleza wazaz wake kilicho tokea ili wajaribu kuongea nae......atarud tu we uwe na aman!!!
nashukuru nimeshapoa,hakuna shaka nitafuata ushauri wako.Nalog offDah pole sana kaka. But kwa nini umweleze huyo mdada kinachoendelea kati yako na mkeo?! Si tabia nzuri hata kama ugomvi ni juu yake but usimpe advantage ya kujua. Sisi wanawake tu wa ajabu sana nahasa kama hatuelewani maana mkeo anawezakuja akamshutumu na yeye kwa hacra au kumkomoa mkeo akakubali na kulitumia hili saga kama njia ya kumthibitishia kuwa ni kweli na tena anawezasema kuwa huwa wanakutanianaga maliwatoni au akadai amekushika kiganjani mpaka vinasa unamfulia!
hautegeki wewe na nani? kwanini unashindwa kujizungumzia peke yako mpaka ujifanye wewe ndio unajua sana kuliko wengine? yaani akili zao umezishika wewe! muulize kaka yako musix,ndio utajua ya kuwa hii ni live au stori.Nalog offhatutegeki! wazi kabisa...story ya kutunga hii
sawa nifanya hivyo na nashukuru kwa ushauri wako.Nalog offLog off kwanza!! Naona bado upo.... Lkn pole sana.. Mkeo ana wivu kama NYEGELE.
ahsante kwa kulog in na kuniruhusu nilog offLog off chupi kwa kuwa chanzo cha sakata, kisha mlog off binti mrembo kwa kuwa anakuchonganisha na memsap wako, ilog off hiyo nyumba kwa kuangusha chupi za watu, log off mtaa na mwisho mlog on memsap arudi.