Chuo Kikuu Huria (Open University of Tanzania)

Kweli mkuu ni chuo kizuri kwa Aina yake licha ya wengi kukishusha
Wanakishusha wasio kijua unapo ongea distance learning fresh from school ni kazi kubwa kwake hivyo nawashukuru sana walio kianzisha kwani wanatusaidia tulio kazin kusoma bila presha na kwa kutaka mm mda gani niandike mtihan hakuna jambo lisilo kua na changamoto ata udsm toka ikiwa campus ya makerere mpaka leo bado nacho changamoto nyingi hivyo usiangalie chuo angalia unapata nn na hicho unacho kipata kina msaada gani kwako asante mtoa maada
 
Iv kwa ufaulu huu EDE -naweza jiunga na degree kwa open? Au wanafnyj ili kuonekan unavigezo? TCU ni 4points kwa masomo mawl izo tajwa ni points3 kwa masomo mawl,nahtaj kusom mm ualim wa sekondari kuptia open
 
OUT wanatoa vyeti ngazi ya Astashahada; Stashahada; Shahada; Shahada ya Uzamili; Shahada ya Uzamivu.

Pia ni chuo pekee nchini walioruhusiwa kuendesha kozi ya Foundation kwa wasio na vigezo vya kujiunga na vyuo vikuu.

Masomo yanatolewa kwa njia ya teknolojia ya habari na mawasiliano. Wanafunzi na wahadhiri wao wanakutana kupitia 'Zoom meeting'.
Ubora wa wahitimu ni wa kiwango kizuri sababu wanao uwezo kufanya kazi kwa njia ya tehama.

Asante
 
Asante kwa nyongeza hiyo mkuu
 
Iv kwa ufaulu huu EDE -naweza jiunga na degree kwa open? Au wanafnyj ili kuonekan unavigezo? TCU ni 4points kwa masomo mawl izo tajwa ni points3 kwa masomo mawl,nahtaj kusom mm ualim wa sekondari kuptia open
Mkuuu neda kwanza utapiga foundation course mwaka mmoja kisha ukifaulu utakuwa na sifa ya kujiunga na chuo chochote kwa kuangalia TCU guide book hivyo kama unataka kuendelea kusoma open utasajiliwa kwa kutuma maombi kisha TCU wakivarify kua ulikua huna sifa na umepinga foundation unakua na sifa moja kwa moja utachakuguliwa na kuanza kupiga bacherol yako
 
Kitivo Cha sayansi na teknolojia ,Kuna kozi gani hapo wakuu.nitafute cv za uzeeni .
Diploma in poetry, Bacherol of science in biology,chemistry,physics,mathematics, with education Bacherol of science in data management hivyo basi na masters kila moja wapo hapo ina masters yake kulingana na specialization yako pia zipo nyingi hizo ni baadhi tuuu mkuuu
 
Mkuuu neda kwanza utapiga foundation course mwaka mmoja kisha ukifaulu utakuwa na sifa ya kujiunga na chuo chochote kwa kuangalia TCU guide book hivyo kama unataka kuendelea kusoma open utasajiliwa kwa kutuma maombi kisha TCU wakivarify kua ulikua huna sifa na umepinga foundation unakua na sifa moja kwa moja utachakuguliwa na kuanza kupiga bacherol yako
OK,gharama za foundation n kias gan?
 
Mmh...Chuo ni kizuri ila wafanyakazi wake mtihani..

Watu wanapata vyeti...degree..masters nk.
Za kununua...

Matokeo wasomi wengi lakini kiutendaji hawana kitu... Ingekuwa vyema wahusika makao makuu ...wafuatilie kwa ukaribu matawi yao mikoani!...aibu na kashfa kubwa...
We jamaa mpuuzi acha uongo
 
Nashukuru Sana uongozi wa open University, kwa maana Sasa natamba kwa kuwa na kadegree kangu nilikohitimu 2011, isipokuwa Masters nimekwamishwa na msimamizi wangu! Endapo Kama uongozi wa OUT unapitia uzi huu wafanye uchunguzi hasa kwa idara ya EDUCATION, Mimi nilikuwa admitted na MED APPS, course work nimepita vzr tu! Lkn kazi yangu ya utafiti msimamizi wangu amenikwamisha huu Sasa unaenda Mwaka wa 5, na nishakata tamaa tu ya kumaliza! Kazi zangu namtumia hazifanyii kazi!
Binafsi namtakia maisha Marefu Yule mama na Mungu amsimamie ktk kazi zake!
 
Pole ndio maisha yalivyo tunatumia ngazi moja kupanda, lakini wengine wakisha panda huitoa ili wanao baki wakwee wasitumie ngazi
 
Mpuuzi huyu. OUT ina material ya nguvu na ya kutosha ndio wauze mitihani? Unasoma mwenyewe na kuelewa. Hizo campus college zao zinaongoza kwa degree za ngono mbona hasemi
Kweli kabisa niliwahi mnukuu makamo mkuuu wa chuo cha open akisema kusoma ni kama kukimbia marathon hivyo mtaanza pamoja ila kila mmoja atafika end point kwa wakati wake kutokana na nguvu binafsi ya kukimbia hivyo wasio fika pale na kuishia njiana hukisema chuo vibaya mno wakati uwezo wa mtu hauletwi na chuo huletwa kwa juhudi binafsi unaweza kua na degree yako ya UDSM lakini unazidiwa uwezo na mtu wa diploma hiyo yote ni kutokana na uzembe wa kifuatilia mambo hivyo kupelekea kua na uwezo mdogo mno.
 
Nashauri ungeweka hiyo link ya chuo kwenye post ya kwanza iwe rahisi kwa anaetaka kutembelea tovuti ya chuo huria kwa taarifa zaidi.

Hingera kwa kuweka hili bandiko mkuu.
Shukurani mkuu ngoja niongeze website yao kwenye bandiko
 
Back
Top Bottom