Chuo Kikuu Huria (Open University of Tanzania)

Hivi ile bsc in data management iko poa pale kwa maana ya kuwa competent na soko lake la ajira baada ya kumaliza
 
Habarini? Napenda kuwauliza kwa mwenye uelew juu ya hicho chuo tajwa, je naweza soma diploma ya ualimu wa sekondari kwa kutumia cheti cha 4m6 kwa miaka miwil na je ada n kias gan na kuna koz ngap/uniti ad nahtim?
 
Mmh! Chuo ni kizuri ila wafanyakazi wake mtihani.

Watu wanapata vyeti degree, masters nk.

Za kununua.

Matokeo wasomi wengi lakini kiutendaji hawana kitu. Ingekuwa vyema wahusika makao makuu, wafuatilie kwa ukaribu matawi yao mikoani! Aibu na kashfa kubwa.
 
Mingi umeongea mazuri. Ila hakuna Jamhuri ya watu wa Zanzibar duniani kama ilivyo kwa Jamhuri ya Tanganyika tangu 26 Apr 1964
Anajua sana tu ila amewasoma akili zao akaamua kuandika vile kuwapaka mafuta kwa mgongo wa chupa
 
Habarini? Napenda kuwauliza kwa mwenye uelew juu ya hicho chuo tajwa, je nawez soma diploma ya ualimu wa sekondari kwa kutumia cheti cha 4m6 kwa miaka miwil na je ada n kias gan na kuna koz ngap/uniti ad nahtim?
Mkuu kwa msaada zaidi unaweza tembelea website yao ya www.out.ac.tz hapo utajua mengi zaidi.

Asante
 
Mmh! Chuo ni kizuri ila wafanyakazi wake mtihani.

Watu wanapata vyeti degree, masters nk.

Za kununua.

Matokeo wasomi wengi lakini kiutendaji hawana kitu. Ingekuwa vyema wahusika makao makuu, wafuatilie kwa ukaribu matawi yao mikoani! Aibu na kashfa kubwa.
Fact
 
Chuo bora sana mrithi wa Prof Mmari, The Late Prof Mbwette aliinvest sana kwenye technology wanajitahidi sana pamoja na ukata walionao
Kweli mkuu ni chuo kizuri kwa Aina yake licha ya wengi kukishusha
 
Back
Top Bottom