didy muhenga
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 2,101
- 3,566
Changeni buku buku mtengeneze mashineChuo kikuu Ardhi Dar es salaam kuna changamoto kubwa ya maji ambayo hayatoki katika hostel za kike na kiume.
Wanawake wanateseka sana wanaingia siku zao lakini maji hakuna na waziri anajitahid kufuatilia changamoto inakua ni kwa wakubwa kutekeleza.
Hostel za wanaume Zina wakazi zaidi ya 300 na za wanawake makongo Zina wanawake zaid ya 589 na bado hostel za wanawake ndani pia hadi hostel za wanazokaa foreigners na watu wa masters maji hakuna.
Ni mtihani kwakweli, chanzo ni pump zimeharibika zaidi ya miezi hakuna matengenezo. Hostel za wanawake makongo hazina hata furniture kwa hiyo wanafunzi hawawezi kusomea hostel mpaka waje chuo na wanarudi usiku sana na bado jengo lilifunguliwa na viongozi hakuna sewage system ya kueleweka ndo maana walishtakiwa[emoji849].
Maji ni uhai bhana.
Daah yanatoka kidog na kwa mda mdg tena kwa baadh ya mabomba yaan hayaelewekiPoleni sana mkuu
Tangu mashine hiyo iharibike maji mnapata wapi mkuu?
Hahaha kuna vyumba zaid ya 400 na kila chumba chuo kinaingiza 240k na bado tuchange hata hivyo wa2 wangekubal sema watu hawajui chanzo cha tatzo wanaishia kumpa lawama wazr wa accommodationChangeni buku buku mtengeneze mashine
Sidhan kama VC kapat hzi taarfa Mara ya mwisho zilikua kwa DSS maan watu wa estate wameshindwa kutatuaHapo utakuta VC yupo ndani LC 300 anajiita Profesa XYZ shiiiiiiit
[emoji23][emoji23][emoji23]Hapo utakuta VC yupo ndani LC 300 anajiita Profesa XYZ shiiiiiiit
Wanawake wanateseka sana wanaingia siku zao lakini maji hakuna na waziri anajitahid kufuatilia changamoto inakua ni kwa wakubwa kutekeleza.Chuo kikuu Ardhi Dar es salaam kuna changamoto kubwa ya maji ambayo hayatoki katika hostel za kike na kiume.
Wanawake wanateseka sana wanaingia siku zao lakini maji hakuna na waziri anajitahid kufuatilia changamoto inakua ni kwa wakubwa kutekeleza.
Hostel za wanaume Zina wakazi zaidi ya 300 na za wanawake makongo Zina wanawake zaid ya 589 na bado hostel za wanawake ndani pia hadi hostel za wanazokaa foreigners na watu wa masters maji hakuna.
Ni mtihani kwakweli, chanzo ni pump zimeharibika zaidi ya miezi hakuna matengenezo. Hostel za wanawake makongo hazina hata furniture kwa hiyo wanafunzi hawawezi kusomea hostel mpaka waje chuo na wanarudi usiku sana na bado jengo lilifunguliwa na viongozi hakuna sewage system ya kueleweka ndo maana walishtakiwa[emoji849].
Maji ni uhai bhana.
Issue sio wataalam hapo,issue n pesa itolewe ziwekwe pump mpya na koki mpya na miundombinu kwa ujumla sio kwamb hakuna wataalam.Je wew ungekua mtaalam ungekubal kufanya bure?Shida za wasomi. Jirani na Ardhi University kuna Water Insitute (Chuo cha Maji) na DAWASA Makongo Juu ambapo kuna wasomi wabobezi na wataalam wa masuala ta maji; na pia taasisi hizi zipo chini ya Wizara ya Maji.
Ina maana mmeshindwa kutatua changamoto hizi na badala yake mnakuja humu JF kulalamika?