Chuo cha Uwalimu Patandi chawa ofisi ya CCM

GIB

JF-Expert Member
Mar 2, 2012
336
92
ila ninaanisha kuwa hawa jamaa wa ccm wanatumia ofise na ukumbi wa chuo hicho kilicho hapa Tengeru , kwenye jimbo la A. mashariki kama zao vile.wanapanga mikakati ya kuiba kura. wakati karibu na hichi chuo kuna ofise zao ila nashangaa kwanini hawazitumii. je hilo ni sawa.
 
Samahani wa jf kwa mkanganyiko huo. ila ninaanisha kuwa hawa jamaa wa ccm wanatumia ofise na ukumbi wa chuo hicho kilicho hapa Tengeru , A. mashariki kama zao vile. wakati karibu na hichi chuo kuna ofise zao ila nashangaa kwanini hawazitumii. je hilo ni sawa.
Mh mbona kichwa cha habari na contents ni tofauti au macho yangu?
 
..Hebu edit hio heading ya thread yako basi
 
Asiyejua haambiwi maana!.Hivi nyie magamba cell hamjaelewa nini?.Mbona iko fresh?Kama hamna cha kuchangia kaeni pembeni maana mnakuwa wagumu wa kuelewa na wepesi wa kusahau?.Achen utoto!!.Over.
 


umeishia darasa la ngapi wewe?
 
Asiyejua haambiwi maana!.Hivi nyie magamba cell hamjaelewa nini?.Mbona iko fresh?Kama hamna cha kuchangia kaeni pembeni maana mnakuwa wagumu wa kuelewa na wepesi wa kusahau?.Achen utoto!!.Over.

Kaka ukitaka kumjua mwana CCM huna sababu ya kuuliza! Hao wote wanaosema hawaelewi ni Wana-ccm kabisa.
 
I Am graduate from UDSM what else. and Mwita Mwaitare was my DARUSO president. with others guys like Bahati Tweve, what else, M. Luhanga my VC what else, The late Bomani my Chancellor . and Seminar Room 15, was my favorite study room and Under degree tree together with vimbeta most rememberble places during discussion.
umeishia darasa la ngapi wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…