Chuo cha Utumishi Mtwara: Ufuska, ngono, uchangudoa na uchafu mtupu

Du afadhali mi naishi huko Mtwara kwa kweli kulikuwa na ukame sana wa mademu watoto wakimakonde hawako sharp wala nini ngoja nikirudi kubeba box nikamate hao wakuja kama 4 hivi kwa mpigo.

Utakamata hao uende kuwafanya. Mkishakamuana, jamii inawaita hao wanafunzi wa kike, "wachafu, mafuska" n.k. This is not fair at all. Uchafu ni pamoja na wanaume wanao "wafanya". Kama wanaume wasingekuwa wanataka hii kitu, basi hao wadada wasingekuwa hivyo. Wanaume nao wanatakiwa kulaumiwa!!!
 
Samahani sana mheshimiwa but .....na siku moja akaamua kwedna Gimbu achukue CD wa kujipoza naye akaopoa kitu saaaafi ..Kufika ndani mwake si ni yuloe yule girlfriend wake wa Utumishi na leo dau lilikuwa alfu Kumi!!!

Hii inakuwaje kuna maswali mengi sana nashindwa kujijibu hapa but naomba nijibu hili moja tu mengine ntapata majibu yake,
1.Ilikuwaje asimgundue kama ni Girlfriend wake wakati ameshawahi kuwa nae siku za nyuma???? ...fine yeye hakumgundua hata huyo girlfriend wake..... (naomba majibu kama vipi jivue gamba)

Amechemka kwenye kujaribu kuonyesha huo umalaya uliokisiri matokeo yake anaanza kutunga na uongo mwisho huaribu ukweli wa jambo lenyewe.

Ni kweli hao mabint wa huko ni malaya lakini tukubali pia na hao wanaume wa huko nao ni malaya pia, iweje wawachangamkie hao wanafunzi namna hiyo? Kama wangewatosa wangekuwa malaya? Angalia tu mfano wa huyo jamaa yake sasa jinsi nae alivyo kicheche mpaka anamrudia gf wake bila kujua na akalipa elfu 10....hahahaha!
 
Dah tena j'5 nina safari ya kikazi ya wiki mbili Mtwara..nawashukuru wadau kwa kunipa tahadhari maana ningetegwa na kutegeka bure..hawanipati ng'o bora nile ugari kwa samaki wa ukutani!
 
Mkuu we sema tu kwamba wamekupa mwanga ni wapi pa kupata mapozeo kirais wakati ukiwa far ground!
 
Yaani hawa dada zetu wanatia kinyaa kabisa,sio mtwara pekee,nenda mabibo hostel uone sodoma na gomola live..watoto wanajiuza kweupeee aibu tupu,ndo maana mababu zetu walichelea kusomesha hii jinsia.
 
Utakamata hao uende kuwafanya. Mkishakamuana, jamii inawaita hao wanafunzi wa kike, "wachafu, mafuska" n.k. This is not fair at all. Uchafu ni pamoja na wanaume wanao "wafanya". Kama wanaume wasingekuwa wanataka hii kitu, basi hao wadada wasingekuwa hivyo. Wanaume nao wanatakiwa kulaumiwa!!!

we nanren unatetea upuuzi mtupu,so waendelee kujiuza kwa vile wanaume wanawataka?...Afu ndo tutakuja kuoa hiyo mijitu ! KAZI IPO
 
Samahani sana mheshimiwa but .....na siku moja akaamua kwedna Gimbu achukue CD wa kujipoza naye akaopoa kitu saaaafi ..Kufika ndani mwake si ni yuloe yule girlfriend wake wa Utumishi na leo dau lilikuwa alfu Kumi!!!

Hii inakuwaje kuna maswali mengi sana nashindwa kujijibu hapa but naomba nijibu hili moja tu mengine ntapata majibu yake,
1.Ilikuwaje asimgundue kama ni Girlfriend wake wakati ameshawahi kuwa nae siku za nyuma???? ...fine yeye hakumgundua hata huyo girlfriend wake..... (naomba majibu kama vipi jivue gamba)

Mambo ya Mapooda....Make Ups...na Si Unajua Mtu akishafunga Ndoa na Tusker kadhaa? Haoni tena
 
we nanren unatetea upuuzi mtupu,so waendelee kujiuza kwa vile wanaume wanawataka?...Afu ndo tutakuja kuoa hiyo mijitu ! KAZI IPO

Fikiria vizuri.
Sijatetea.
Sitaki wajiuze au wajigawe bure. Ninachopinga ni hili swala la wewe kwa mfano (assuming ni mwanaume) kuamua kuwafuata, unajipigia, unarudi kimya kimya, na hakuna anayekulaumu. Lawama zote zinaenda kwa hao wasichana. That is wrong. Ufuska unapofanyika, unafanywa na watu wa jinsia mbili. Hao wasichana waache hiyo tabia, na hao wanaume wanaowafuata waache. Tukitoa mfano wa nyumbani kwako, wewe ukimtokea housegirl eti kwa vile amejirahisi, is it fair kumlaumu house girl peke yake?????
 
RAHAAAAAAAAAAAA ziko kusiniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.........................niko huku KILIMANJAROOOOOOOOOOOOOO ni ukameeeeeeeeeeeeeee..................nataka kuhamia huko jamaaaaaaaaaaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Karibu Mangi na ARV zipo nyingi sana huku
 
Kwani Kila wakitongozwa lazima wakubali? Na wale wanaojiuza si ni kwa Sababu wanaume wamegoma kuwatongoza then wanaamua kuanika ili kuwashawishi wanaume wanunue?
 
RAHAAAAAAAAAAAA ziko kusiniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.........................niko huku KILIMANJAROOOOOOOOOOOOOO ni ukameeeeeeeeeeeeeee..................nataka kuhamia huko jamaaaaaaaaaaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Bora ubaki hukohuko!
 
Hii thread imenifanya niwaze mambo mengi: 1) Nilifikiri elimu humfanya mtu kuondokana na mambo ya kipuuzi kumbe sivyo 2) Hivi wanavyuo wa vyuo vingine vya Afrika mashariki nao wana tabia kama hizi au wa Tanzania wana mambo yao ya kipekee?
 
Hao ndio viongozi wetu watarajiwa.

Tuombe Mola tusije jaza HIV/AIDs makazini.

Kwa mujibu wa rais Kikwete na tovuti ya TIC , Mtwara ni mji unaotarajiwa kukuwa kwa kasi sana . hivyo kila mtu anawania huko, Mbali ya vyuo lkini pia starehe zimezidi.

Tuombe mungu
 
we katavi, mwache jamaa aje ajionee mwenyewe, sie tunajionea mambo, pamoja na mapungufu hayo ya ufusika kwa wanafunzi kiujumla wameuchangamsha mji wengi tusingekaa huku si kwa sababu ya huduma zao hapana mji sasa haujapoa, matatizo ya wanafunzi yanajulikana naamini wengi wetu tumepitia vyuoni tabia hizi c ngeni,
 
name lenyewe linauza CHUO CHA UTUMISHI, nadhani wanataka wawe fiti kila nyanja. japokuwa hii hidden curriculum hiii........
napata mawivu mie kwani my yfu wangu yupo hapo. cjui nifenyeje?
 
pole kaka,mwambie nini kinasemwa kuhusu chuo chake,ajue unajua nini kinafanyika huko chuoni mwake!
 
Fikiria vizuri.
Sijatetea.
Sitaki wajiuze au wajigawe bure. Ninachopinga ni hili swala la wewe kwa mfano (assuming ni mwanaume) kuamua kuwafuata, unajipigia, unarudi kimya kimya, na hakuna anayekulaumu. Lawama zote zinaenda kwa hao wasichana. That is wrong. Ufuska unapofanyika, unafanywa na watu wa jinsia mbili. Hao wasichana waache hiyo tabia, na hao wanaume wanaowafuata waache. Tukitoa mfano wa nyumbani kwako, wewe ukimtokea housegirl eti kwa vile amejirahisi, is it fair kumlaumu house girl peke yake?????

mwenye maamuzi ya kukataa ni mwanamke,ni wanaume wachache sana wenye uwezo wa kusema NO mbele ya mwanamke (ndio maana siku zote sisi wanaume tunwafuata nyinyi wanawake na kuwatongoza) hiyo ni nature na ndivyo ilivyo leo hii yule ambaye ukimuhitaji lazime uonyeshe nia kwa zaidi ya miezi miwili mfululizo,unamkuta tayari yupo barabarani ni wewe tu na pochi yako...mtu anayetumia mwili wake kupambana na hali ngumu ya maisha badala ya ubongo ni hasara kubwa...sasa kama yeye mwenye elimu anafanya hivyo yule ambaye hajaenda shule kabisa afanye nini?...Na infact sio kwamba wana hali ngumu ni tamaa tu na kuendekeza starehe (kupenda vya bure mchezo),so ladies wakiamua kuanzia leo hatuuzi tena wala hatutoi bure,na hatumuonjeshi mtu mpaka tuolewe...aaah tutaskia labda kesi ya kubaka na bila shaka muhusika atashughulikiwa kwa mujibu wa sheria
 
napata mawivu mie kwani my yfu wangu yupo hapo. cjui nifenyeje?

Aisee kwa kweli kama unaweza kuandika Talaka ....andika tu maana Hakuna Mzima huku...si mwenye pete ya ndoa wala Mlokole...ngono ngono ngono kwenda mbele!
 
Back
Top Bottom