Chuo cha Utumishi Mtwara: Ufuska, ngono, uchangudoa na uchafu mtupu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chuo cha Utumishi Mtwara: Ufuska, ngono, uchangudoa na uchafu mtupu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by IsangulaKG, May 15, 2011.

 1. IsangulaKG

  IsangulaKG Verified User

  #1
  May 15, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 702
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 45
  Nilipofika Mtwara hivi karibuni nilifurahi sana kuona watu wengi sana wanafanya kazi huku.. Unajua hata mimi kabla niliwahi kupewa kazi kuja huku nikaipotezea?

  Basi bwana nikafurahi tena kuona kuna vyuo vikuu vingi tu; SAUT, UTUMISHI, TIA, UALIMU, COTC, VETA .. Yaani nikafarijika kuwa wamakonde nao sasa wataelimika... Japo nilikuja kugundua kuwa maofisi mengi wamakonde ama ni walinzi, wafagizi au wapishi.. akijitahidi sana ni dereva!

  Jioni moja nikajumuika na wananchi hawa wa Mtwara 'wa Kuja' kuburudika pale Litingi.. Mmh mambo niliyoyaona we acha tu. Wazazi kwa kweli fumbeni macho mnapowapa wanenu hasa wa kike fedha kuwa wanakuja shule.... Laiti ukija ukagongana naye njiani akitoka Litingi au Makonde Hall... Unaweza kuahirisha kutoa fedha yako!

  Siku ya Pili nikapumzika sehemu yaitwa Gimbu... Mmh kumbe hapo ndo kuna Machangudoa kibao! Nikamuuliza Mshikaji wangu mmoja jirani akasema... 'MWE WE ACHA TU, HAWA WANAVYUO NDIYO KAZI YAO HASA WALE WA CHUO CHA UTUMISHI"

  Ikanibidi kesho yake nitafiti zaidi kujua ukweli wa mambo na ukweli ni huu;

  1. Wanafunzi wa Kike wa Chuo Cha Utumishi wa Umma huku Mtwara ndio wanaoongoza Kwa Ngono, Uchangudoa na Uchafu wa aina zote.....

  2. Hawa ndiyo wanakuja kuutumikia Umma lakini ndio wauzaji wakuu wa Ngono Mkoani Mtwara.

  3. Wamejaaliwa maumbo mazuri na mvuto na ni Waremba lakini kwao kuuza ngozi ni kazi moja kwenda mbele.

  Nikakutana na jamaa mmoja ambaye alikuwa na Girlfriend wake wa Utumishi lakini akashindwa Gharama za Kumhudumia (30-50 alfu kwa siku) na siku moja akaamua kwenda Gimbu achukue CD wa kujipoza naye akaopoa kitu saaaafi.

  Kufika ndani mwake si ni yule yule girlfriend wake wa Utumishi na leo dau lilikuwa alfu Kumi!!!

  Mmmh yangu Macho..


  ==========

   
 2. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #2
  May 15, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Sio wao tu na hata jirani zao wa SAUT, na pia chuo kile cha kilimo kule Naliendele tabia hazitofautiani sana! Hii yote inasababishwa na ugumu wa maisha, tena Mtwara palivyo na maisha magumu basi ndio inakuwa balaa zaidi!
   
 3. IsangulaKG

  IsangulaKG Verified User

  #3
  May 15, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 702
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 45
  But Kuna Mambo mengine wanajitakia...kwa sababu Posho wanayopata inazidi kipato cha Mmakonde wa hapa..nyingine tabia tu Ugumu wa Maisha Kisingizio...umewahi kumwona aliyepata Maisha mazuri kwa kuuza ngono?
   
 4. A

  AridityIndex Senior Member

  #4
  May 15, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 121
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu ina maana wanaojihusisha na hiyo shughuli si wamakonde wenyeji..... bali ni wale walioletwa na wazazi wazazi wao kutoka sehemu nyingine ningependa kujua mkuu.
   
 5. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #5
  May 15, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Inawezekana! Mimi nadhani sio tu Mtwara.. Karibia sehemu zote zenye vyuo, tabia za kungonoka zimevuka mipaka..

  Kwani hatujui kipindi flani mpaka sasa SAUT-Mwanza huko ilipambwa na kashfa za ngono mitandaoni?? TIA Singida ndo chuo kichafu kwa ngono Tanzania nzima!

  Anyway, kwa Mtwara ni kwamba, baada ya kuanzishwa hivi vyuo (na Chuo cha Ualimu kitengo cha UDSM kinasimikwa huko), kuna wanafunzi wengi sana walitoka mikoani Kanda za kaskazini, Mbeya, Iringa na kwingineko, wenyeji ni wachache sana kwenye hivi vyuo, sasa hawa wadada/wakaka ndio wameichafua Mtwara kwa kiasi kikubwa.

  Hawa wadada especially kwenye chuo cha SAUT wametia doa sana Mtwara. Ilifika kipindi hadi wenyeji wakawa wanawanyima kuwapa nyumba zao for rent. Walikuwa na kashfa ya kutoka/kutembea na baba mwenye nyumba. Isitoshe ukimpangisha mmoja watafika 10.

  Kikubwa zaidi kilichopelekea kujiuza ni kwamba wale madent waliomba mkopo, serikali ikawaahidi waende mavyuoni watatumiwa huko!!

  Sasa baada ya kuwa admitted, serikali ikawapa kisogo, ngoja ngoja ikawashinda wakaingia mtaani kwa spidi ya rocket.. Mpaka ilifika kipindi wale madereva wa bodaboda pale BIMA wakawa wanawaita ''buku 2''.. Yaani we ukiwa na buku2 tu unakamata mzigo.

  Sasa ikaja point ya kushindana; SAUT na UTUMISHI... Mashindano ya mavazi na ngono, UTUMISHI nao wakaingia kwenye ngono na spidi ya kutisha!!

  Ukimwi umezagaa sana kitaa, watu wengi wanakohoa huku!! Na mwaka huu kuna madent zaidi ya 1000 watakuwa admitted, so wenyeji sasa hivi wanawakodolea macho tu wanawaacha.. coz hawaaminiki, ni sumu.
   
 6. m

  mwabaluhi JF-Expert Member

  #6
  May 15, 2011
  Joined: Oct 16, 2010
  Messages: 561
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Chuo cha utumishi tabora kinaitwa na wennyeji "zizini" kwa sababu hapo "mifugo" ni kibao tu tena ya kusaza
   
 7. IsangulaKG

  IsangulaKG Verified User

  #7
  May 15, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 702
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 45
  Thats RIGHT mkuu japo kuwa Wamakonde pia inawezekana wamo lakini ni kwa kiasi kidogo but hawa WAGENI ndo Top of the List..Wanatisha kwa Kweli
   
 8. IsangulaKG

  IsangulaKG Verified User

  #8
  May 15, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 702
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 45
  Kaka umenikuna saana maana hapa Mtwara kwa kweli sasa panatisha..Na Hawa jamaa wafanyakazi wa Mashirika ya Mishahara minene na Mabenki wanawafaidi kweli kweli..si ajabu kwa Mfanyakazi wa benki kuwa nao 10..tena na kumbi za starehe zinavyozidi kufunguliwa..we acha tu. Kuna dada mmoja wa Utumishi amefukuzwa CHUO kwa kuwa alikuwa akifanya mapenzi na jamaa akawa anapiga kelele usiki wa manane hadi majirani wakaenda Polisi.....Lets just pray for these LOST souls!
   
 9. IsangulaKG

  IsangulaKG Verified User

  #9
  May 15, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 702
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 45
  Kwa tabia Hizi sijui kwa kweli Wasomi wetu watatoa Mchango gani kwa Taifa! Mimba zatolewa usiseme..Yaani kama Hujaoa ni Bora Ukachukue sijui Kijijini maana Matumba ya Madada zetu kule Mtwara hayana Mayayi...Yamesha Ng'olewa
   
 10. Easymutant

  Easymutant JF-Expert Member

  #10
  May 15, 2011
  Joined: Jun 3, 2010
  Messages: 2,570
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Samahani sana mheshimiwa but .....na siku moja akaamua kwedna Gimbu achukue CD wa kujipoza naye akaopoa kitu saaaafi ..Kufika ndani mwake si ni yuloe yule girlfriend wake wa Utumishi na leo dau lilikuwa alfu Kumi!!!

  Hii inakuwaje kuna maswali mengi sana nashindwa kujijibu hapa but naomba nijibu hili moja tu mengine ntapata majibu yake,
  1.Ilikuwaje asimgundue kama ni Girlfriend wake wakati ameshawahi kuwa nae siku za nyuma???? ...fine yeye hakumgundua hata huyo girlfriend wake..... (naomba majibu kama vipi jivue gamba)


   
 11. k

  kagamba kadogo Senior Member

  #11
  May 15, 2011
  Joined: Apr 24, 2011
  Messages: 178
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  waache wale misha kama na wewe unataka kapate mmakonde mmoja
   
 12. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #12
  May 15, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mbona ufuska umejaa kila sehemu kwenye vyuo vikuu, UDSM, SAUT, IFM, CBE. MWL, NYERERE, UDOM, kote huko malaya wakujikamatia tu
   
 13. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #13
  May 15, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Kweli kabisa mkuu wanafunzi wa saut na utumishi wameuchafua mji!
   
 14. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #14
  May 15, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,039
  Likes Received: 3,069
  Trophy Points: 280
  Hivi hawa madada zetu wanasumbuliwa na ugonjwa gani hasa?mbona starehe zitawamaliza mapema,alafu wanatoka huko wanataka kuolewa,hata kama huna ngoma bnafsi siko radhi,maana unalala na waume kiasi hiki K nayo si inakuwa kama bigiji,baadae wanarudi mtaani wanakosa waume,nani awaoe hawa kama si kuishia kuchezewa tu,kazi kwa wazazi...let them perish out!
   
 15. kanyagio

  kanyagio JF-Expert Member

  #15
  May 15, 2011
  Joined: Dec 10, 2009
  Messages: 986
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  nadhani suala la umalaya wa wanafunzi wa chuo si mtwara tu.. utasikia, dodoma, Dar, mwanza etc wapo hivyo hivyo.. Cha kujiuliza ni kuwa sababu ni hali ngumu ya maisha? mahitaji mengi? tamaa? fashion? au wanaume wamekuwa mafuska zaidi (mwanamke hawezi kupigisha kama hana mtu wakumpiga otherwise ni lesbo).
   
 16. mfukunyunzi

  mfukunyunzi Senior Member

  #16
  May 15, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 142
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nikakutana na jamaa mmoja ambaye alikuwa na Girlfriend wake wa Utumishi lakini akashindwa Gharama za Kumhudumia (30-50 alfu kwa siku) na siku moja akaamua kwenda Gimbu achukue CD wa kujipoza naye akaopoa kitu saaaafi.

  Kufika ndani mwake si ni yule yule girlfriend wake wa Utumishi na leo dau lilikuwa alfu Kumi!!!

  Mmmh yangu Macho
  [/COLOR][/QUOTE]

  bora :majani7: hata uvute kiasi gani huwezi maliza buku sate au fifte kwa siku
   
 17. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #17
  May 15, 2011
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  ni mkweli kila sehemu ya Tz yenye vyuo wanafunzi wengi wa kike huwa wanafanya ukahaba ila wanakuwa na mbinu tofauti si za wazi kwani ukweli wengi wao wanaofanya hivyo huwa hawataki wajulikane kuwa wanajiuza na niwanafunzi hivyo wanakuwa wasiri na wajanja wasigundulike, hivyo hata wakiwa kwenye clubs ukienda kichwa kichwa wanakutoa nishai
   
 18. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #18
  May 15, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Ugumu wa maisha na wao wanataka kuishi kwa starehe zaidi ya uwezo wao!!!
   
 19. A

  AridityIndex Senior Member

  #19
  May 15, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 121
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Du afadhali mi naishi huko Mtwara kwa kweli kulikuwa na ukame sana wa mademu watoto wakimakonde hawako sharp wala nini ngoja nikirudi kubeba box nikamate hao wakuja kama 4 hivi kwa mpigo.
   
 20. C

  Chupaku JF-Expert Member

  #20
  May 15, 2011
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 1,043
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Tatizo kubwa wanafunzi wengi chuoni hawapewi posho ya kutosha kiasi kwamba wanajiuza. Wazazi hawako responsible na wao wanataka maisha ya juu. Nimeongea na wanafunzi wengi na wanakula mlo mmoja. Wengine hukata fees zao na kulipia wadigi zao nyumbani school fees nyumbani. Maisha magumu kwa kweli na kusoma sekondari hadi ngazi za juu siyo sera ya taifa kwamba ni lazima.
   
Loading...