Chuo cha UDOM ni majanga

Mkuu sidhani kweli Dr Lucy Mboma na Dr Mbura ndo walikufundisha ? Dr Mbamba akikuona anaweza kufutia shahada yako usifanye hivyo tena.
kwa liplipi we nae?Unamjua Mbamba wewe kwanza? Mbamba uje umuambie ujinga wa kiswahili chuo tena spelling error?unachekesha kweli actually he z the one who taught me education z more about analysis ability and cotent period!plus sipo kwa any official matter hapa kam umekosa point sio lazima uongee ilimrad tuu nikuandikie kifasaha wewe sina shughuli za kufanya au Siamini my content nitokee
 
Mkuu inabidi urudi tena kupigwa msasa na Dr Mbura
iih hihihhhh ok I agree ur a a udbs student or unless otherwise unaambiwa majina ya has ma Dr and wewe unakurupuka tuu kuwataja hapa. .hahaha sasa anaekuambiaanakudanganya big time manake hao unaowataja ndio walikuwa hawana time kabisa na mambo za standard 2 uandishi fasihi[emoji23] ..yan bora ungemtaja hata Minja kidogoo ningekuelewa kwa mbali
 
Muhimu kufata sheria na taratibu za sehemu husika. Kama wamekataza suruali liwe kama la pepe kali ni suruali tu. Angetoa kanga kwenye mkoba au ungemuazima.
Maana anaweza kua amemaliza udom miaka ya nyuma kabla sheria hazijaanza
 
point is wanachosimamia ni maadili ya umma ambayo hayakatazi suruali isipokuwa aina flan ya suruali na isitoshe kuna watu walikuwa wanapita pale na mini za hatari kuliko na hawaguswi
 
Ukifikia level yangu naamini mtaani kwenu hawataishi kwa amani na kuendelea kubishana na wewe nikujipotezea mda maana naamini hutonielewa kamwe maana sio level zako hizi
 
point is wanachosimamia ni maadili ya umma ambayo hayakatazi suruali isipokuwa aina flan ya suruali na isitoshe kuna watu walikuwa wanapita pale na mini za hatari kuliko na hawaguswi
Basi alikua na damu ya kunguni. Pole yake
 
Kama baba yako ana degree, usishangae kuwa mi ni mwalimu wake. Ningekuwa mwalimu wako wewe ungeishia semester ya kwanza, mwaka wa kwanza.
maskni unavyoitaman hyo degree mbna ktu kdogo baba unatokwa povu unataka ku burst!wewe wadanganye ngonolists wenzako degree holder hasahishi muandiko over content ever! na hashashindwi kutofautisha official writing nd mere writing kakojoe ulale
 
Ukifikia level yangu naamini mtaani kwenu hawataishi kwa amani na kuendelea kubishana na wewe nikujipotezea mda maana naamini hutonielewa kamwe maana sio level zako hizi
[emoji23] [emoji23] this was my post 4 a day?atii nini? mimi nishuke to standard two kusahihisha muandiko? yan kiaje sasa nianze kushuka? deminishing return au?wewe mama kiboko utakuwa ulifuzu uchawi sio kwa ki degree kukutoa roho huko
 
maskni unavyoitaman hyo degree mbna ktu kdogo baba unatokwa povu unataka ku burst!wewe wadanganye ngonolists wenzako degree holder hasahishi muandiko over content ever! na hashashindwi kutofautisha official writing nd mere writing kakojoe ulale
Elimu, Elimu, Elimu!!
 
Wakiachwa UDOM wanatembea uchi....wamezuiwa UDOM wamemnyanyasa...lipi Jema.........dress code lazima iangaliwe sio kukurupuka tu ...wemngine na night dress, wengine nguo za mazoezi....big up UDOM Kama mmeanzisha hilo
 
Alikuwa amevaa hayo masuruali mapana mangapi?
 
Alikuwa amevaa hayo masuruali mapana mangapi?
uwii bora wewe umeumeniambia kumbe hiki ndio kimewacharua waalimu wa miandiko huko juu[emoji23] said yale masuruali mapana referring to those huge trousers uwii hahaha nimecheka. .si mmenikumbusha std 2 third person plural sijuii[emoji23]ngoja waje linguistics wanichambe ka nimekosea hapo lol. .jaman eeeh am not a linguist ila hyo ni third person plural na mmeelewa I guess ila sjui hamtaki tuu kujadili mada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…