Chuo cha masheikh

Chuo cha masheikh

Suali zuri Masheikh wapo ki uchaji zaidi na hawawezi wakawadhulumu waumini wao bali wao wapo tayari kutoa kidogo walichonacho kuwasaidia wahitaji
Tafauti na Wachungaji wapo kidunia zaidi wanakuibieni kishaa wanaenda kutanua na vimada na clips wanakurushieni
Akina GWAJIBOY AKA MAUNO YA FENI

Acha kudanganya masheikh wa kiislamu kujifanya maskini ni balaa ili waonewe huruma na hizo nyumba ndogo mnazowajengea hao mabibi wadogo huwa mnatoa wapi, sema waislamu wengi kwenda msikitini ni ishu sana na sadaka kutoa ni ngumu
 
Imetosha jamani tufunge mjadala huu.
Masheikh oyee. Masheikh juu juu juuu zaidi
 
Back
Top Bottom