dega
JF-Expert Member
- Dec 18, 2012
- 3,171
- 3,086
Vyuo vya ISLAMIC STUDIES vimejaa dunia nzima ulaya na hata marekani vipo SEARCH ktk mtandao vimeja teleee binafsi niliwahi kupata admission ktk chuo kimoja kipo London uengereza kwa ajili ya kufanya M.A Ktk ISLAMIC STUDIESNdugu zangu kwa nia njema kabisa naomba vilipo vyuo vya kuchukulia mafunzo ya u sheikh au hata u ustaadh au u maulamaa.
Natanguliza shukrani povu sitaki
South Africa vipo vyuo hivyo
Nigeria vimejaa Mashariki ya kati
Mashariki ya mbani
Malaysia Indonesian nk nk
Any way inaonesha Mtoa Mada wewe ni BANDALESS na unabeba chuki toka MAKANISA YA UFUFUO NA UZIMA
Mnakonyiswa JIK ili muokoke pole yako!!!!

