Yani unakusudia Mtu akiongea kiarabu kibovu kisha kuwa Sheikh c ndio.
Tatizo hufahamu Uislam na Quran vizuri, Uislam uko tofauti na dini zingine kwa sababu, Uislam ni Adabu na Elimu ya kufikiria mwisho wako, Uislam hauhitaji uwe na PhD ya dunia kabla ya kuwa na Elimu alio ishusha Mungu.
Uislam hauna umri, wala utajiri, mdogo na masikini wnaweza kuwaongoza wakubwa kwenye kusali, kuhifadhi kitabu cha Mungu ni muhimu sana.
Kufikia kuwa Sheikh katika Uislam lazina uwe umekamilika kwa tabia na kwa elimu.
Elimu uwe umeihifadhi Quran vizuri na kuweza kuitafsiri, ujiepushe na machafu mfano usikaribie Zina, Riba, Kuteta watu, kulewa na kuachana na mambo yote mabaya alio kataza Mungu.
Uislam ni kuamrisha mazuri daima mfano kutoa sadaka, kusali, kuheshimu wazazi wako wawili na kuwafanyia mazuri yani yote mazuri ya dunia yafanye.
Yani ukifata hayo juu kwa kuyazingatia basi una haki ya kuitwa Sheikh.
Umeona tofauti ya Usheikh na Upadri, padri anaweza kuwa Padri hata kama mzinifu, mlevi na akawa na yote ya uchafu.
Padri we mbandike mshahara tu utaona anavyo foka kanisani na kuwapa masanamu mgongo, yani nyie abuduni tu sanamu yeye halitazami anawatazama wajinga tu
😂 😁