Kazakh destroyer
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 2,932
- 5,993
Huo mshahara uliosema unaweza kunilipa km inawezekana naomba unisaidie ajira km una biashara yako nikufanyie kazi niipate kwa njia halali na Mungu atakulipa. Asante.
Huo mshahara uliosema unaweza kunilipa km inawezekana naomba unisaidie ajira km una biashara yako nikufanyie kazi niipate kwa njia halali na Mungu atakulipa. Asante.
Unaelekea kulekule ulipokukataa!,tunasubiri mrejesho
Uzuri na lugha ya malkia inapandaKigezo kikubwa cha kusoma hiyo course ni transcript za o level au advance,hivyo vingine ni vya ziada tu.Unaposema unavyo vigezo vyote sijui unamaanisha nini mdogo wangu.
Unamaanisha chorongo au vichwa vya chorongo?mkuu umenikumbusha kuna bit za mitarimbo ya huko migodini za atlas copco ni steel saaana...
Unamaanisha chorongo au vichwa vya chorongo?
Unauzajebit mkuu.....ni vichwa vya chorongo...
Unauzaje
ndio ashakuita akakulipe mshahara sasa wewe ukaanza kumtolea risala tena..
Fanya hivyo then ukikipenda utanichek maana na connection pande hizoAsante Kaka, nitaanza Ku search kuhusu hiko chuo
Mhhh!!!Fanya hivyo then ukikipenda utanichek maana na connection pande hizo
Mhhh!!!Fanya hivyo then ukikipenda utanichek maana na connection pande hizo
Mbona unagunaMhhh!!!
Mmeshaanza kutafuta fursa za kuwa karibu na mrembo,yetu machoFanya hivyo then ukikipenda utanichek maana na connection pande hizo
Hahaha Jf hiii ,je kama ni mwanaume ?kama unataka kuolewa niPM.... huo u air hostess unategemea na kigezo cha urembo na watakavyokuelewa waajiri wako.... na zaidi huna cheti cha O level.... so kama uko interested niPM nikuweke home... kisha nikulipe mshahara zaidi ya ambao ungeenda kuhustle kuutafuta kwa kurisk maisha yako angani....
asante..