Chuo cha "Aviation" Air Tanzania

Status
Not open for further replies.
Huo mshahara uliosema unaweza kunilipa km inawezekana naomba unisaidie ajira km una biashara yako nikufanyie kazi niipate kwa njia halali na Mungu atakulipa. Asante.

usijali... fuatilia malengo yako.....kama ikishindikana na ukaona kuna uhitaji wa kuniomba ushauri au msaada usisite kunitafuta...ila kwanza fuatilia ulichokipanga...na unachokiona ni cha sawa na sahihi zaidi kwako...

asante..
 
ndio ashakuita akakulipe mshahara sasa wewe ukaanza kumtolea risala tena..

Yy kasema anilipe mshahara kwa kuolewa hajasema mshahara kwa ajira, mm thread yangu inahusu kazi sio ndoa. Ndoa sio solution, what if aniowe then tuje kuachana si tatizo langu litabaki palepale. Nataka niwe na kipato changu mm mwenyewe. Hela ya Mwanaume ni Bonus tu.
 
Dunia nzima cheti ndio uthibitisho halali kama kweli umesoma sasa unapotuambia kuwa huna cheti cha form four sisi tufanye nini...?
 
Ushauri wangu ni huu. Mandhali huna cheti cha form four ambacho ni MANDATORY kwa awamu hii,jaribu biashara ingine huku utapata frustration.RAMADHAN KAREEM
 
Jaribu ku google huwa zinatokea nafasi za Emirates cabin crew. Au ingia youtube ukitaka kuwa cabin crew sheria zao zikoje? Hizo naongelea ndege za Qatar au Emirates ( wanalipwa vizuri na unasafiri all over the world) Nafikiri muhimu lugha na umri na ujue kujielezea na kujiamini kwa sana. Kuna sehemu ya ku apply ukifanikiwa wanakufanyia wenyewe training
 
kama unataka kuolewa niPM.... huo u air hostess unategemea na kigezo cha urembo na watakavyokuelewa waajiri wako.... na zaidi huna cheti cha O level.... so kama uko interested niPM nikuweke home... kisha nikulipe mshahara zaidi ya ambao ungeenda kuhustle kuutafuta kwa kurisk maisha yako angani....
asante..
Hahaha Jf hiii ,je kama ni mwanaume ?
 
Status
Not open for further replies.
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom