Mwanafunzi auawa mikononi mwa Polisi
Wananchi wakapata taarifa, wakavamia kituo, wakachoma nyumba za askari.
Askari wamesepa.
Source: Radio One.
Enhe, ukombozi unakaribia!!
JK.anajua tunapoenda.
Definitely atakuwa anajua angekuwa hajui angeuliza wamwelekeze.JK.anajua tunapoenda.