bushland
JF-Expert Member
- Mar 6, 2015
- 7,015
- 4,997
Ok
Hapana, sijaamua. Nimelazimika.
Hapana, sijaamua. Nimelazimika.
neno ulilotamkiwa na mtu unayempenda kuliko kitu chochote kamwe huwezi kulisahau.. Nalikumbuka kwa kuwa niliwahi kumpenda kupita kiasiBado unakumbuka hadi leo? Pole mwaya ulimi kiungo kidogo lakin unaweza washa moto usiozimika
Uliwahi kumpenda lakin humpend tena. Maneno mabaya sana yanaacha kovu moyonneno ulilotamkiwa na mtu unayempenda kuliko kitu chochote kamwe huwezi kulisahau.. Nalikumbuka kwa kuwa niliwahi kumpenda kupita kiasi
Nilijua ulioa kabisa kumbe ulikua bado. Ulimi huu kiungo kidogo lakinneno ulilotamkiwa na mtu unayempenda kuliko kitu chochote kamwe huwezi kulisahau.. Nalikumbuka kwa kuwa niliwahi kumpenda kupita kiasi
pole mpendwa na hongera pia kwa kutambua mabadiliko ya mke wako maana ni wanaume wachache sana wanawaelewa wake zao katika kipindi hiki cha ujauzito.ujauzito una mambo mengi, waweza tu mchukia mtu bure tuLeo tu nimeambiwa hayo maneno mchana na wife lakini kwa sababu ana mimba changa nimemchukulia poa tu
Point noted"Naregret sana kukuoa, kwanza sikuwahi kukupenda nilikosea tu njia, mi nilikuwa nampenda yule dada mfanyakazi mwenzangu ila sijui hata nilitokana wapi na wewe usie na mbele wala nyuma hadi nikaachana na yule dada." sijui uliniloga?" haya ni maneno alikuwa anaambiwa jirani yangu na mume wake.
Ni kweli Ndoa zina changamoto nyingi sana tu ila ukiwa kama mwanandoa panapotokea kupishana na mume/mke wako chunga sana ulimi wako maana maneno mabaya utayosema yana nguvu sana.Yanaweza punguza au kuondoa kabisa upendo kwa mwenzako.
Ndio una hasira,mwenzio kakuudhi sana ila yakupasa uchunge maneno usemayo,ni afadhali mara mia kama una hasira usiongee kabisa.maneno kama haya "najuta kuwa na wewe "au "sikuwahi kukupenda" ni maneno ambayo yana uzito sana kiasi cha kuweza kupunguza upendo au kuondoa kabisa upendo kwa anayeambiwa.
Mwanandoa chunga sana pale unapokuwa na hasira maana hasira zinaweza kuja kukuponza.
Tunalalamika sana ndoa ni mbaya ila ni maneno mabaya tunayoambiana tukiwa ndani ya ndoa ndo yanayomaliza ndoa zetu. usitegemee eti umwambie mwenzio sikuwahi kukupenda halafu baadaye ukaja kusema zilikuwa hasira kama atakuja kuwa sawa,hata ukiomba msamaha hili neno bado litamsumbua sana ni neema tu ya Mungu ndo itakuja kumuondoa na kufanya asahau na kuwa normal.
Jamani mwanandoa pima maneno unayomwambia mwenzio wakati ukiwa na hasira.Usiropokeropoke tu.
Pole mwaya . Mungu akufanyie wepesi huko mbeleni. Bt msamehe kabisa ili awe huru na aman huko aliko.kila kitu kilikuwa kipo kwenye utaratibu lakini baada ya kauli ile nikavunjika Moyo kabisa na kuanzia hapo mapenzi ya kalegalega mwishowe kila mmoja akatazama ustaarabu wake DIVINE
"Naregret sana kukuoa, kwanza sikuwahi kukupenda nilikosea tu njia, mi nilikuwa nampenda yule dada mfanyakazi mwenzangu ila sijui hata nilitokana wapi na wewe usie na mbele wala nyuma hadi nikaachana na yule dada." sijui uliniloga?" haya ni maneno alikuwa anaambiwa jirani yangu na mume wake.
Ni kweli Ndoa zina changamoto nyingi sana tu ila ukiwa kama mwanandoa panapotokea kupishana na mume/mke wako chunga sana ulimi wako maana maneno mabaya utayosema yana nguvu sana.Yanaweza punguza au kuondoa kabisa upendo kwa mwenzako.
Ndio una hasira,mwenzio kakuudhi sana ila yakupasa uchunge maneno usemayo,ni afadhali mara mia kama una hasira usiongee kabisa.maneno kama haya "najuta kuwa na wewe "au "sikuwahi kukupenda" ni maneno ambayo yana uzito sana kiasi cha kuweza kupunguza upendo au kuondoa kabisa upendo kwa anayeambiwa.
Mwanandoa chunga sana pale unapokuwa na hasira maana hasira zinaweza kuja kukuponza.
Tunalalamika sana ndoa ni mbaya ila ni maneno mabaya tunayoambiana tukiwa ndani ya ndoa ndo yanayomaliza ndoa zetu. usitegemee eti umwambie mwenzio sikuwahi kukupenda halafu baadaye ukaja kusema zilikuwa hasira kama atakuja kuwa sawa,hata ukiomba msamaha hili neno bado litamsumbua sana ni neema tu ya Mungu ndo itakuja kumuondoa na kufanya asahau na kuwa normal.
Jamani mwanandoa pima maneno unayomwambia mwenzio wakati ukiwa na hasira.Usiropokeropoke tu.
Na heshimu rai na ushauri wako...Ukiwa na hasira, ukizinguana na mwenzi best solution ni kukaa kimya, ukimya unaepusha mengi mnoo
DIVINE nimeshamsamehe Huyu mtu tokea zamani na Sina kinyongo chochote juu yake lakini hii kauli yake ndio huwa naikumbuka muda wote kwa kuwa sikutarajia kama ingetolewa na mtu niliyempenda kupita kiasiPole mwaya . Mungu akufanyie wepesi huko mbeleni. Bt msamehe kabisa ili awe huru na aman huko aliko.
kiswahili swafi kabisaInawezekana ni kweli lakini sidhani kama ni kweli mara zote.
Wakati mwingine watu hutamka maneno ambayo hata hawamaanishi [ambayo yanaweza kupokelewa visivyo].
Mfano, hujawahi kuona watu waliokasirishana na kila mmoja akimwambia mwenzake 'ntakuua wewe'?
Kweli unadhani watu kama hao huwa wanawaziana kuuana ila huwa wanashindwa kuambiana hadi wapatapo fursa ya kupishana Kiswahili?
Kwa kawaida, mtu akishapandwa na ghaidhi akili huwekwa kando na hisia hushika hatamu.
Sasa katika hali kama hiyo, watu hujikuta wakiongea maneno mengi tu ambayo hata hawamaanishi lakini zipo nyakati ambazo hutokwa na maneno ambayo wanamaanisha.
Ugumu upo kwenye kutenganisha yepi ni yepi na ndo hapo jinsi ya yanavyopokelewa na walengwa kunaingia kwenye mlinganyo.
Kwa mintarafu hiyo basi, ndo umuhimu wa kuchunga kauli unapokuja maana huwezi jua mlengwa wako atapokeaje hicho ulichokilenga kwake.
Zipo kauli ambazo huweza kujeruhi na kuacha kovu la muda mrefu kwenye hisia za mtu. Na mtu akishakuwa na kovu la hisia ni vigumu sana kurudia hali iliyokuwepo kabla ya.
Uhiiii pole mpendwaNimetoka kuyafanya jana tu. Nikamwambia Najuuta kukurupuka labda ningekujua miaka miwili nyuma tusingekua hapa leo. Uliniforce ndoa
Ahsante japo karoho kanauma kweliUhiiii pole mpendwa
Maneno hayarudi kinywani. Omba msamaha. Ila hilo neno zitoo loo. UhiiiAhsante japo karoho kanauma kweli
Kama kuna jambo wanaume wanakosea ni kudhani wanawake ni wajinga....