Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,827
- 15,015
Teh teh..Bro hujatulia ww..Unahitaji feniMke akikutia hasira nenda Bar
Kunywa pombe tukana waiter na walevi halafu rudi nyumban ulale
Teh teh..Bro hujatulia ww..Unahitaji feniMke akikutia hasira nenda Bar
Kunywa pombe tukana waiter na walevi halafu rudi nyumban ulale
Teh teh..Bro hujatulia ww..Unahitaji feni
Nahisi kama kuna maneno ambayo Nipo weak/sensitive nayo sana ni maneno mtu akiniambia akiwa na hasira. Yani yananikaaga hapa, na honestly huwa yanabadilisha kila kitu. Mimi naaminigi mtu akiwa na hasira anakwambia vile vitu ambavyo anakuwaziaga mara nyingi ila tu huwa anashindwa kukwambia. " Life and death are in the power of the tongue"
Ni kama vile mtu amelewa..Anakutukana weeeee..Zen kesho anakwambia ilikuwa akili ya Pombe...Mi uwa sielewiNahisi kama kuna maneno ambayo Nipo weak/sensitive nayo sana ni maneno mtu akiniambia akiwa na hasira. Yani yananikaaga hapa, na honestly huwa yanabadilisha kila kitu. Mimi naaminigi mtu akiwa na hasira anakwambia vile vitu ambavyo anakuwaziaga mara nyingi ila tu huwa anashindwa kukwambia. " Life and death are in the power of the tongue"
Eeeeh hizo scenarios mbili zinaendana mno. Mara nyingi mlevi huwa anaongea ukweliKuna concept mbili hapa
Mtu akikuambia vitu akiwa na hasira
Na Mtu akikuambia vitu akiwa kalewa
Wewe naona unaelewaga. Aisee me tangu Nipo mdogo bora nizibuliwe mikofi kuliko mtu aniseme, hata kama ni ile tu kusemwa ya kurekebishwa huwa naumia jamani Mmh. Ndo mtu aje aniambie maneno makali khaaNi kama vile mtu amelewa..Anakutukana weeeee..Zen kesho anakwambia ilikuwa akili ya Pombe...Mi uwa sielewi
Eeeeh hizo scenarios mbili zinaendana mno. Mara nyingi mlevi huwa anaongea ukweli
Mmmh kuna hasira na hasira. Kuna ile kweli mtu anatoa povu na maneno yanakuwa hayana ukali wa kuumiza. Em Imagine unamwambia mtu maybe " ningejua ningewasikiliza wazazi wangu, nisingekuoa", afu unakuta ni kweli wazazi wake walikuwa wamegomea ndoa, me ntakuelewa?Exactly!!
Mlevi ni msema kweli ila mwenye hasira yanakua ni mapovu tuu!!
Mimi naaminigi mtu akiwa na hasira anakwambia vile vitu ambavyo anakuwaziaga mara nyingi ila tu huwa anashindwa kukwambia.
Yani we kwa kucopy tu life la daddy unajitahidi...Wewe naona unaelewaga. Aisee me tangu Nipo mdogo bora nizibuliwe mikofi kuliko mtu aniseme, hata kama ni ile tu kusemwa ya kurekebishwa huwa naumia jamani Mmh. Ndo mtu aje aniambie maneno makali khaa
Asante kwa post, ni kweli tupu"Naregret sana kukuoa, kwanza sikuwahi kukupenda nilikosea tu njia, mi nilikuwa nampenda yule dada mfanyakazi mwenzangu ila sijui hata nilitokana wapi na wewe usie na mbele wala nyuma hadi nikaachana na yule dada." sijui uliniloga?" haya ni maneno alikuwa anaambiwa jirani yangu na mume wake.
Ni kweli Ndoa zina changamoto nyingi sana tu ila ukiwa kama mwanandoa panapotokea kupishana na mume/mke wako chunga sana ulimi wako maana maneno mabaya utayosema yana nguvu sana.Yanaweza punguza au kuondoa kabisa upendo kwa mwenzako.
Ndio una hasira,mwenzio kakuudhi sana ila yakupasa uchunge maneno usemayo,ni afadhali mara mia kama una hasira usiongee kabisa.maneno kama haya "najuta kuwa na wewe "au "sikuwahi kukupenda" ni maneno ambayo yana uzito sana kiasi cha kuweza kupunguza upendo au kuondoa kabisa upendo kwa anayeambiwa.
Mwanandoa chunga sana pale unapokuwa na hasira maana hasira zinaweza kuja kukuponza.
Tunalalamika sana ndoa ni mbaya ila ni maneno mabaya tunayoambiana tukiwa ndani ya ndoa ndo yanayomaliza ndoa zetu. usitegemee eti umwambie mwenzio sikuwahi kukupenda halafu baadaye ukaja kusema zilikuwa hasira kama atakuja kuwa sawa,hata ukiomba msamaha hili neno bado litamsumbua sana ni neema tu ya Mungu ndo itakuja kumuondoa na kufanya asahau na kuwa normal.
Jamani mwanandoa pima maneno unayomwambia mwenzio wakati ukiwa na hasira.Usiropokeropoke tu.
hahahahahMke akikutia hasira nenda Bar
Kunywa pombe tukana waiter na walevi halafu rudi nyumban ulale
U.S.A baby ni wewe?......Inawezekana ni kweli lakini sidhani kama ni kweli mara zote.
Wakati mwingine watu hutamka maneno ambayo hata hawamaanishi [ambayo yanaweza kupokelewa visivyo].
Mfano, hujawahi kuona watu waliokasirishana na kila mmoja akimwambia mwenzake 'ntakuua wewe'?
Kweli unadhani watu kama hao huwa wanawaziana kuuana ila huwa wanashindwa kuambiana hadi wapatapo fursa ya kupishana Kiswahili?
Kwa kawaida, mtu akishapandwa na ghaidhi akili huwekwa kando na hisia hushika hatamu.
Sasa katika hali kama hiyo, watu hujikuta wakiongea maneno mengi tu ambayo hata hawamaanishi lakini zipo nyakati ambazo hutokwa na maneno ambayo wanamaanisha.
Ugumu upo kwenye kutenganisha yepi ni yepi na ndo hapo jinsi ya yanavyopokelewa na walengwa kunaingia kwenye mlinganyo.
Kwa mintarafu hiyo basi, ndo umuhimu wa kuchunga kauli unapokuja maana huwezi jua mlengwa wako atapokeaje hicho ulichokilenga kwake.
Zipo kauli ambazo huweza kujeruhi na kuacha kovu la muda mrefu kwenye hisia za mtu. Na mtu akishakuwa na kovu la hisia ni vigumu sana kurudia hali iliyokuwepo kabla ya.
Mmmh kuna hasira na hasira. Kuna ile kweli mtu anatoa povu na maneno yanakuwa hayana ukali wa kuumiza. Em Imagine unamwambia mtu maybe " ningejua ningewasikiliza wazazi wangu, nisingekuoa", afu unakuta ni kweli wazazi wake walikuwa wamegomea ndoa, me ntakuelewa?
Aisee utapata nafasi nyingi tu za kuchange mood yako, but hutopata nafasi ya kubadilisha maneno yako unayomwambia mtu. Mimi nina allergy kabisa na maneno makali
U.S.A baby ni wewe?......
Yeah umeongea vyena, na nahisi mawazo yetu yameendana kwenye quote nilomjibu mkuu benny. Ila kuavoid matatizo, itakuwa vizuri kila mtu akiweza kuchunga ulimi wake. Maneno yanaumiza mno jamani
Benny hata ukinielezeaje, sidhani kama ntakuelewa. Sure kuna vitu havisahauliki hata kama nitasameheMmmh sio kwa maneno hayo
Itabidi amsubiri atulie halafu akuelezee vizuri
Maneno mengine ni "lifetime torture" haijulikan yatasajaulika lini
Hahah nilikumbuka hilo jina + kiswahili chako fulani hivi nikajua huyu ni USA baby tu. Pole kwa banOf course, ndo mimi.
Kwani ulikuwa hujui?
Jana kuna falla alileta pekepeke nikampa uppercuts akaenda kunisemea kwa mods nikafungiwa.
USA babyView attachment 320441View attachment 320442View attachment 320443View attachment 320444.
Hahaha sasa si daddy angu jamani, acha tu nicopyYani we kwa kucopy tu life la daddy unajitahidi...