jibu la upole huibadili hasira kuwa furaha au hata huituliza hasira kutotenda maov....aliyewahi kuwa MCHUMBA wangu fulani hunipgia cmu kunilalamikia kwa yanayomkuta alikoolewa..nilimuacha nilipoziona dalili tu za kuwa na mwingne japo hakutegemea...CKUWAHI KUMJIBU VIBAYA licha ya makosa mengi, wala CKUWAHI KUPELELEZA CHOCHOTE kumuhusu yeye kupitia rafki zake....sasa tatzo alipatwa na tamaa ya pesa ghafla na mimi ndo choka mbaya...aliko sasa ni anadharauliwa na MUMEWE VIBAYA!
Hehehehehehehehehehe!! sio kwamba nafurahi yanayomkuta, hapana!!...nimeikumbuka SMS moja ya mwisho kumtumia yenye ujumbe huu.." NASIKITIKA KUKUKOSA mpenz wangu A"". ujumbe hajausahau mpaka kesho..
NINAPOKUWA NA HASIRA JUU YA MPENZ WANGU, nilikuwa napenda kumkumbatia kwa upole na kumueleza kwamba amenikwanza ktk jambo fulan na naliweka waz na niliomba anipe muda wa kuwa faragha kdogo! NINAPOKUTANA NAE TENA namkuta hata YEYE AMEANDAA NAMNA NZURI SANA ya kuniomba msamaha...