Chumvi imeharibika, itatiwa nini hata ikolee?

Chumvi imeharibika, itatiwa nini hata ikolee?

Leo umekuja na maneno ya Mungu.

Luka 19: 40 Akajibu, akasema, Nawaambia ninyi, wakinyamaza hawa, mawe yatapiga kelele

Baada ya Wahusika yaani manabii, mitume kunyamaza Mungu katuinulia Mshana Jr anahubiri sasa.

Ila nyie watani zangu kweli Mbinguni hamfiki, yaani umejifanya kusahau WIZI yaani, ukataja haya kweli.

UZINZI, ULEVI, KIBURI, UCHAWI, UASHERATI, ULAWITI, UFIRAJI, UJAMBAZI, USENGENYAJI

By the way, chumvi sasa inakolezwa kuzidi.

Taa ya ulimwengu, tuwe taa na nuru ili wengine waone kwetu,

eti eeh?
 
Ahsante kwa Darasa kaka mkubwa, hakika neno limenigusa mpaka rohoni, ashukuliwe Mungu mbinguni na Duniani kuwe na amani kwa watu wote.
Barikiwa zaidi

Jr[emoji769]
 
Hapo ndipo unaponikosha, Mungu akubariki sana bro, ila linda sana moyo wako kuliko vitu vyote uvilindavyo, kumbuka Yesu yu karibu mno kuja kuchukua walio wake.

Isaya 35:8
[emoji120][emoji120][emoji123][emoji109][emoji109]barikiwa zaidi

Jr[emoji769]
 
Leo umekuja na maneno ya Mungu.

Luka 19: 40 Akajibu, akasema, Nawaambia ninyi, wakinyamaza hawa, mawe yatapiga kelele

Baada ya Wahusika yaani manabii, mitume kunyamaza Mungu katuinulia Mshana Jr anahubiri sasa.

Ila nyie watani zangu kweli Mbinguni hamfiki, yaani umejifanya kusahau WIZI yaani, ukataja haya kweli.

UZINZI, ULEVI, KIBURI, UCHAWI, UASHERATI, ULAWITI, UFIRAJI, UJAMBAZI, USENGENYAJI

By the way, chumvi sasa inakolezwa kuzidi.

Taa ya ulimwengu, tuwe taa na nuru ili wengine waone kwetu,

eti eeh?
Ila nyie watani zangu kweli Mbinguni hamfiki, yaani umejifanya kusahau WIZI yaani, ukataja haya kweli.

UZINZI, ULEVI, KIBURI, UCHAWI, UASHERATI, ULAWITI, UFIRAJI, UJAMBAZI, USENGENYAJI [emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji119][emoji30][emoji30][emoji30][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
Jpm ameshaharibika atafanywa nini hadi awe faraja kwa watz?????Hafai tena!!!
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji848][emoji848][emoji119][emoji119][emoji119][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40]

Jr[emoji769]
 
Hili swali ukiwauliza CCM wanaweza kujibu kuwa "Umetumwa na Mabeberu, chumvi haiwezi kuharibika"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom