Chumvi imeharibika, itatiwa nini hata ikolee?

Nguvu ziko mbili duniani tu

Mizimu ilikuwepo zaman kbla ya yesu na aliposhukia kuzimu na mizimu ikafa kwani alikutokomeza kwa kuzipeleka mbinguni na zisizostahili motoni hivyo hukumu yetu ni ya walio hai yaani walioishi baada ya kristu kufufuka
Juju kwa dhana ya kiafrika ramli ni uongo( deception) isipokuwa kuna talanta >>>> kama magic au mitindo ya juggery nk isiyozuru ukiona imezuru roho basi nguvu ya pepo inahusika

Mshana Jr tulifundishe hili ( dini ya afrika ilifundisha uwepo wa Mungu 1 na si tofauti yaani Leo mti huu kesho mti ule hapana, hasipowajibu wanasubiri, au kufanya jitihada kama sadaka na maombi ya kujitakasa lkn leo waganga wanaamini ktk wapi?-- in kawaida ya mwanadamu na historia inaonesha watu walimtafuta Mungu lkn baadhi wamwshindwa kubadilika kama Buddha, Hindu nk lkn pia wanaamini Mungu 1)
Kwakuwa tumeshakuwa waamini katika Kristo Yesu basi ni vema sasa tukabaki ndani yake na yeye ndani yetu....
Bila kujali dini na imani zetu za asili hatupaswi kurudi nyuma tena kwakuwa tunaambiwa..... Tazama ya kale yamepita na sasa yamekuwa mapya... Tukiliishi hili neno tutakuwa washindi katika Kristo na tutashinda zaidi ya kushinda
Shalom!

Jr[emoji769]
 
Ni kwa vile nami si mkamilifu natenda dhambi na kupungukiwa na utukufu wa Mungu... Ndio maana ni muhimu sisi sote kudumu katika toba na maombi

Jr[emoji769]
Hakika kwani dunia ni ya wadhambi hivyo tujitakase Mara kwa mara na kushukuru pia

Nilikutana na mlokole juzi japo ni kipepeo akaniambia yeye ni mlokole kwa kuwa anataka kuwa mtakatifu na kuishi matakatifu tangu akiwa duniani
Nikafurahi nikamjibu dunia hii ni ya wadhambi hivyo dhambi ni sehemu ya maisha ya mwanadamu na watakatifu wanachaguliwa na Mungu na pia hawapo duniani bali mbinguni! Akanicheka akasema basi yeye anaanza

Mshana endelea kuwahubiria pia " makanisa ya roho". Yakichukua mali ya mwili wa waamini
 
Nikafurahi nikamjibu dunia hii ni ya wadhambi hivyo dhambi ni sehemu ya maisha ya mwanadamu na watakatifu wanachaguliwa na Mungu na pia hawapo duniani bali mbinguni! [emoji109][emoji109][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]

Jr[emoji769]
 
Kwakuwa tumeshakuwa waamini katika Kristo Yesu basi ni vema sasa tukabaki ndani yake na yeye ndani yetu....
Bila kujali dini na imani zetu za asili hatupaswi kurudi nyuma tena kwakuwa tunaambiwa..... Tazama ya kale yamepita na sasa yamekuwa mapya... Tukiliishi hili neno tutakuwa washindi katika Kristo na tutashinda zaidi ya kushinda
Shalom!

Jr[emoji769]
Tukavae tukavae, tukavaeni utu mpya! Ulioundwa kwa namna ya Mungu
 
Nikafurahi nikamjibu dunia hii ni ya wadhambi hivyo dhambi ni sehemu ya maisha ya mwanadamu na watakatifu wanachaguliwa na Mungu na pia hawapo duniani bali mbinguni! [emoji109][emoji109][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]

Jr[emoji769]
Siyo kweli mkuu, maandiko yanasema watakatifu wapo duniani,, hebu soma Zab 16:3
 
Ndiyo wapo hakuna aliyekataa isipokuwa hata wewe huwezi nionyesha mtakatifu ni yule isipokuwa Munguwenyewe hivyo kifupi tambua sisi ni wadhambi na daima tunapaswa kutimiza mema, kutubu na kuhepa dhambi
 
Ni kazi ya Roho Mtakatifu kutukamilisha kila siku.
Ndiyo wapo hakuna aliyekataa isipokuwa hata wewe huwezi nionyesha mtakatifu ni yule isipokuwa Munguwenyewe hivyo kifupi tambua sisi ni wadhambi na daima tunapaswa kutimiza mema, kutubu na kuhepa dhambi
 
Tukavae tukavae, tukavaeni utu mpya! Ulioundwa kwa namna ya Mungu
Tukapige vita ya imani... Tukapige vita ya ushindi... Na tukimaliza mwendo imani tuwe tumeilinda.. Hallelujah... Ramark najisikia kubarikiwa mno...

Jr[emoji769]
 
. CHUMVI YA ULIMWENGU

. NURU YA ULIMWENGU

Vitu hivi ni muhimu sana kwa mustakabali wa Maisha ya Mwanadamu!

Mathayo 5:13 Ninyi ni chumvi ya dunia; lakini chumvi ikiwa imeharibika itatiwa nini hata ikolee? Haifai tena kabisa, ila kutupwa nje na kukanyagwa na watu.

Yesu anatuita sisi ni CHUMVI ya DUNIA! Kazi ya CHUMVI ni kutia ladha kwenye CHAKULA, na haihitajiki Chumvi nyingi ili kukifanya Chakula kiwe kitamu.

Chakula hicho, hakiwezi kutamanika na kuliwa na watu, japo ni kizuri, ikiwa CHUMVI sisi tumeharibika! Yesu ametuita CHUMVI na siyo SUKARI kwa sababu CHUMVI haina gharama kubwa, na matumizi yake ni mengi.

Chumvi ya tsh 500 Unaweza kuitumia Wiki nzima, kwenye FAMILIA ya watu 10, Lakini Sukari ya tsh 2800 Huwezi kuitumia kwa wiki nzima kwenye FAMILIA ya watu 6 kuna watu VIJIJINI chai, Hawanyi, lakini wanapika MBOGA, wanahitaji CHUMVI, wakipika Wali, wanahitaji Chumvi, Wakikaanga CHAPATI, wanahitaji Chumvi, Wakipika Makande, Maharage, Choroko, Wanahitaji CHUMVI, nyama ya Kuku, Maini, na uzuri wake, hata Ukiirost vipi, usipoitia CHUMVI, chakula hakitanoga kabisa.

Mathayo 5:14 Ninyi ni nuru ya ulimwengu. Mji hauwezi kusitirika ukiwa juu ya mlima.

15 Wala watu hawawashi taa na kuiweka chini ya pishi, bali juu ya kiango; nayo yawaangaza wote waliomo nyumbani.

16 Vivyo hivyo nuru yenu na iangaze mbele ya watu, wapate kuyaona matendo yenu mema, wamtukuze Baba yenu aliye mbinguni.

Matendo yetu, yawe Nuru, Yawe Chumvi kwa watu, wapate kumtukuza MUNGU, kupitia sisi, Mungu hajataka yeye mwenyewe kushuka, ili kuja kuwafanya watu wamjue yeye, bali ametuweka sisi tumwakilishe kwa watu wake, MATENDO yetu yawe Nuru, ya kuwatoa watu gizani. yawe Chumvi ya kuwapa watu ladha ya kumjua BWANA YESU KRISTO.

Badala yake tumegeuka na kuwa CHUMVI iliyoharibika, tukizani kwamba, watu wanapendezewa nasi, kumbe huko wanamuona Kristo ni asiyefaa, aliyeshindwa Kutufanya sisi tuwe safi, Je! atawezaje kuwafanya wao kuwa SAFI? ikiwa Chumvi wewe, Nuru wewe, Unashiriki, UZINZI, ULEVI, KIBURI, UCHAWI, UASHERATI, ULAWITI, UFIRAJI, UJAMBAZI, USENGENYAJI, hivi utaweza kuwamurikia Nuru wengine wakati umeshageuka na kuwa GIZA? Kristo anatazamwa uwezo na nguvu yake kupitia wewe, kama ilivyo kwa CHAKULA, utamua wa Chakula unajulikana kupitia CHUMVI!

Wakati mwingine Chumvi wewe usijiweke sawa na Chakula utaharibu ladha, usijifanye kuwa Sawa na Kristo, UTUKUFU wa Yesu, usiubebe wewe, Utageuka Chakula kilichozidi CHUMVI, na kuwafanya watu KUUGUA SAFURA. naamaanisha usiweke mbwembwe kwenye Suala zima la UTUMUSHI.

Kama hukuwa unajua kuwa, hayo ambayo unafanya siyo sawa, basi geuka sasa! Uwe Chumvi kweli na Nuru kweli, maana tunaambiwa.

2 Korintho 3:2 Ninyi ndinyi barua yetu, iliyoandikwa mioyoni mwetu, inajulikana na kusomwa na watu wote;

3 Mnadhihirishwa kwamba mmekuwa barua ya Kristo tuliyoikatibu, iliyoandikwa si kwa wino, bali kwa Roho wa Mungu aliye hai; si katika vibao vya mawe, ila katika vibao ambavyo ni mioyo ya nyama.

Na watu wengi bado hawajajua umuhimu wa CHUMVI, siku Chumvi ikiwa ADIMU kama ilivyotokea kwa Sukari hapa kwetu TANZANIA! watakuja kuona umuhimu wake, ndivyo itakavyokuwa kwa Kanisa la Kristo, litakapoondolewa,

Jr[emoji769]
Ahsante kwa Darasa kaka mkubwa, hakika neno limenigusa mpaka rohoni, ashukuliwe Mungu mbinguni na Duniani kuwe na amani kwa watu wote.
 
Hapo ndipo unaponikosha, Mungu akubariki sana bro, ila linda sana moyo wako kuliko vitu vyote uvilindavyo, kumbuka Yesu yu karibu mno kuja kuchukua walio wake.

Isaya 35:8
 
Naomba kupata ufafanuzi hapo mwisho. UNAPOSEMA KANISA LA KRISTO. Je unaweza kutupa mwanga wa Kanisa hilo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom