Watakatifu Bora si walio tangazwa baada ya kifo. Mtakatifu Bora Ni yule alieko hai, Alie kufa huyo katangazwa na mwanadamu Mungu halitambui Hilo la mwanadamu maana Kuna Siri anayo itambua yeye MunguNimenukuu mkuu
Jr[emoji769]
Ni ngumu kuwa mtakatifu ukiwa hai...tunachofanya ni kutafuta njia ya utakatifu...na ukamilifu wake ni kigoWatakatifu Bora si walio tangazwa baada ya kifo. Mtakatifu Bora Ni yule alieko hai, Alie kufa huyo katangazwa na mwanadamu Mungu halitambui Hilo la mwanadamu maana Kuna Siri anayo itambua yeye Mungu