Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,769
- 54,902
[emoji23][emoji23][emoji23]Au watu walitumia nyingi sana kwenye janga la red eyes nini?
Sawa wangu,,,karibu sanaNtakuja kuomba chumvi aisee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wanawake mje mthibitishe ni kweli?
Ngoja niache kutumia..kumbe?Si wanasema inasababisha kisukari na magonjwa ya figo?
Mbobezi Janabi hili asilikalie kinya, kauli yake ni muhimuβΊ
Maeneo mengi ya nchi ilikuwa ni hivyo.pakti 3 buku.Hivi sasa hakunaIsijekuwa mshakuwa vijana wa hovyooo
CHumvi mbona imejaa mkuu hapa mjini yakutosha yan 3packt kwa 1000/=
Otherwise labda prop iwe mnaianzisha
Duh prop ishaanza mkuuMaeneo mengi ya nchi ilikuwa ni hivyo.pakti 3 buku.Hivi sasa hakuna
Huyu anamaanisha chumvini bila shaka...πKivipi tena? Mbona ipo ndani kwenye kikopo kilichoisha blueband
πππKivipi tena? Mbona ipo ndani kwenye kikopo kilichoisha blueband
Mweeπ€Huyu anamaanisha chumvini bila shaka...π
Yani imejaa kibao kule kwetu wanalima wenyeweUpo mkoa gani? Maeneo ya pwani sidhani kama kuna shida ya MUNYU.....Daslamu chumvi pakti 3(500g) ni Tsh 1000