Chumbani kwa dereva wa bajaji

Ha ha ha mzee mara ya mwisho hilo gazet nmenunua kipind linauzwa tsh 100 kuna moja ilikuwa inaitwa uwanja wa fundi seremala na nyengne kisamvu cha kopo
Back day o level
 
Ebu nitafute hiyo riwaya!!!

Wakati nipo O-level kuna novel moja nadhani ilikua inaitwa "Undercover secrets".... Yaani kile kilikua porn kwenye maandishi [emoji85][emoji85][emoji85]. Tulikigawanya kitabu kwenye pande nne na kupokezana kusoma!!! Tulikua tukikaa darasani kusoma kila mtu anajibanabana miguu... Safari za chooni haziishi... Maandishi matamu kuliko movie aisee!!!
 
mambo km haya ndo tunataka, unatoa thread na picha halisi, hata ukiona jini sisi tunataka picha ili tulijue
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…