Ahsante kwa kuwa kisababishi cha furaha kwa wengine.Kuna haja ya kukuombea kwa Mungu afya njema na maisha marefu[emoji120] [emoji120]Tehteh..
Akili yangu naiweza basi . Ila tunachofanya nikuyafanya maisha yetu yazungukwe na furaha mkuu.
Sawa mkuu nitaifuta.Saint Ivuga ningeshauri ufute tu hiyo picha, haiko fair hata kama imeficha sura.
Personal privacy issues.
Naitwa Elly LugikoTeh
Elly kwanza wewe wa jina sema sijajua unaitwa eli nini...
Salute mkuu... ndivyo nilivyo
Asinge ambatanisha na picha ndo nilitaka nimdai picha ila ameambatanisha ndo maana nimeandika hivyoPicha gani unataka mkuu
mm nilisema tu ivugaKumbe Pm kuna flirt za hatari eee. Embu shuniw ni pm nionw na mimi stakuomba namba
Ni pm namba yaki nitakupa za daby.Hahahaha!!Daby bhana
Dah!!Daby unawavutia hadi wanaume.astaghafulilah
Najua sana..mm nilisema tu ivuga
Hahaha mtu wangu wala usijali.Dah!!
Mkuu Saint Ivuga kusema kuwa navutiwa/nafurahishwa na Daby kuhusu uchangiaji wake sina maana mbaya kama ulivyofikiria wewe mkuu...tehteh acha hizo mambo kuwaza wewe mkuu.
Sawa mkuu nitaifuta.
kujaribu nn tena si umpm inaNajua sana..
Hata hivyo fanya hivyo tujaribu
MmmmmhNi pm namba yaki nitakupa za daby.
Atakualika siku yani utafurahi siku nzimaz
Hapana mamdogo... hata nikikupa siku nzima hauwezi kuguess hilo jinabamdogo we utakua ellybariki
Hahaha afu wewe muone kwanzakujaribu nn tena si umpm ina
Amina mkuuAhsante kwa kuwa kisababishi cha furaha kwa wengine.Kuna haja ya kukuombea kwa Mungu afya njema na maisha marefu[emoji120] [emoji120]
teh teh kwani nimekosea ivugaHahaha afu wewe muone kwanza
Hujakosea. Ila nangoja uni flirt pm hukoteh teh kwani nimekosea ivuga