Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 7,957
- 14,752
Mada za kijinga sana
kwako ni ujinga kwa mwenzio ni muhimu..kama huna msaada Pita hivi[emoji117] [emoji117] kimyakimyaMada za kijinga sana
warden wa hall gani? nna ya hall three ambako nilikaagaNaweza pata namba ya warden?
afu kweli then hyo barua kila mwaka itamsaidia awe anapangiwa hostel kila mwaka...Nenda na barua yako ya kaugonjwa pale kwa usab manager mwelezee vzr tuu atakuelewa mi nmefanya jana na nmepata sema nshabeba mkuu
Nan kakudanganya kote atachunwa ngozi km mbuzi exile ataishawishiMabibo kuna ukahaba sana,acha akae mahala ambapo pana msitu ili angalau asitoke ovyo ovyo
Unachekesha ww kila hall kule lina warden mkuu half vyumba adimu sana km kapata mabibo mwache akae cku moja moja atapiga SPNaweza pata namba ya warden?
Mwanaume wa Dar[emoji41] [emoji41] [emoji41]Jaribu kukuaa mkuu!!!
Naomba nitumiee PM mama anguuwarden wa hall gani? nna ya hall three ambako nilikaaga
yeah kweli kabsa ukahaba ni mtu yeye mwenyew either n tabia yake au ameamua kukope from others ila si kwamba kuish mabibo ndo imepelekea.siyo kweli..bora hata mabibo kwasabab mnawaona campus ndo magari yanaingia ovyoovyo na kuchukua wasichana unlike mabibo Ambako kuna mashart sana kwa saiv and ukahaba ni tabia ya mtu..
that's not true halaf talk about vibaka na waporaji adi wengne wanaumizwa wengne kuchomwa adi visu..umekalia ukahaba unaweza kukaa kwa mamako na babako ukawa kahaba grade oneMabibo kuna ukahaba sana,acha akae mahala ambapo pana msitu ili angalau asitoke ovyo ovyo
Ukahaba kuwepo si kwamba kila mtu atakuwa kahaba,ila kiwango kinapokuwa kikubwa,hata kama wewe si muhusika,eneo lote hutawaliwa na jina la kitu kinachoonekana zaidi,mabibo kuna ukahaba.that's not true halaf talk about vibaka na waporaji adi wengne wanaumizwa wengne kuchomwa adi visu..umekalia ukahaba unaweza kukaa kwa mamako na babako ukawa kahaba grade one
na campus hakuna?Ukahaba kuwepo si kwamba kila mtu atakuwa kahaba,ila kiwango kinapokuwa kikubwa,hata kama wewe si muhusika,eneo lote hutawaliwa na jina la kitu kinachoonekana zaidi,mabibo kuna ukahaba.
Sent from my SM-N910C using JamiiForums mobile app
na campus hakuna?
Thankyu..nilitaka kumwambia huyo mbishi kitu hichohicho..mabibo zaid ya saa kumi na mbili jioni gari haliingii.sema wanangangania mabibo kwasababu pengne ndo wanapokaa ila campus its worse na hawana access ya kuona huo uhuniambo hawaijui udsm wanashangaza sana.. hawajui campus ndio madem hawapend kabisa kukaa hostel hasa weekend. wanachukuliwa na mabwana zao ijumaa na kurudi jumatatu...
chini ya mabweni ya girls campus magari yanapishana tu..
na bado ukitembea usiku unakuta watu wamwbambiana tu na zile lovers walks kibao kila mtu na mwenzake za usiku..
dada yake ni mtu mzima now.. mwili na hisia zina mahitaji yake.. ni vizuri kumpa ushauri nasaha tu sio kumchunga eti asikae mabibo
Dah... Nina barua ya ugonjwa nataka niipeleke leo.. Sasa najiuliza nipeleke kwa daktari kwanza au naipeleka kwa USAB manager kabisa?Nenda na barua yako ya kaugonjwa pale kwa usab manager mwelezee vzr tuu atakuelewa mi nmefanya jana na nmepata sema nshabeba mkuu
Bei gani mkuu?nenda land mark hotel ubungo kuna hosteli mpya zimefunguliwa huduma zote zipo