Chumba UDSM main campass kwa wasichana kinahitajika

hiden

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2015
Posts
376
Reaction score
691
Wakuu nina mdogo wangu wa kike kapangiwa udsm na amepata hostel za mabibo lakini sitaki akae kule.
Hivyo kama kuna ambaye anauza chumba au ataweza mbebaa kwa main campass hostel za kike anifate inbox.
Kama ataniuzia Chumba nitanunua kwa laki tatu.
Kama atambeba basi wata share cost either nilipie semista ya kwanza au wachangie wote nusu kwa nusu kila semista.
 
Wakuu nina mdogo wangu wa kike kapangiwa udsm na amepata hostel za mabibo lakini sitaki akae kule.
Hivyo kama kuna ambaye anauza chumba au ataweza mbebaa kwa main campass hostel za kike anifate inbox.
Kama ataniuzia Chumba nitanunua kwa laki tatu.
Kama atambeba basi wata share cost either nilipie semista ya kwanza au wachangie wote kila semista.
kwa nini hutaki akaee mabiboo
 
Ww unataka chumba au hostel? Maana sijakuelewa
 
Mlete huyo mdogo wako 'nimlee'... Nitampa studio appartment Masaki na Harrier new model ya kumpeleka chuo... Pia kila cku ntampa pocket money ya USD 25...
Jaribu kukuaa mkuu!!!
 
Mabibo kuna ukahaba sana,acha akae mahala ambapo pana msitu ili angalau asitoke ovyo ovyo
 
hakuna kitu kama icho,kote kuna ukahaba tu ni yeye atakavoamua kuish,kwani napo pale kuna barabara inaenda mweng na wanafunz weng tu wa kike wanaenda wap au wa mabibo tu ndo wanaonekana? mi nadhani hiyo sio sababu sahih saana.
 
Duh kwa iyo mabibo mkuu ni MBAYA mbovu kwa ngono
Usiulize,acha keyboad nenda pale getini muda huu,acha mtu anayemjali mpendwa wake amnusuru na mambo ya kuiga,wakati mwingine unazidiwa nyota na nguvu na stranger!
Anapelekwa akasome siyo kuchambua kama karanga.
 
Duh kwa iyo mabibo mkuu ni MBAYA mbovu kwa ngono
mkuu hayupo sahih kwan pale ni porin watot wa kike unafikir hawatoki wakat kuna road na daladala za kutosha zinapita pale na wanafunz wa campus wanapanda mida ya usiku,kwenda kweny mishemishe sema lada kwa sababu mabibo wanaonekana sana sabu ni peupe na wote wanatokea geti moja.
 
hakuna kitu kama icho,kote kuna ukahaba tu ni yeye atakavoamua kuish,kwani napo pale kuna barabara inaenda mweng na wanafunz weng tu wa kike wanaenda wap au wa mabibo tu ndo wanaonekana? mi nadhani hiyo sio sababu sahih saana.
Tukipiga kura hapa,utashangaa inavyojulikana mabibo kama ni chaka la kukahabia.
 
hakuna kitu kama icho,kote kuna ukahaba tu ni yeye atakavoamua kuish,kwani napo pale kuna barabara inaenda mweng na wanafunz weng tu wa kike wanaenda wap au wa mabibo tu ndo wanaonekana? mi nadhani hiyo sio sababu sahih saana.
siyo kweli..bora hata mabibo kwasabab mnawaona campus ndo magari yanaingia ovyoovyo na kuchukua wasichana unlike mabibo Ambako kuna mashart sana kwa saiv and ukahaba ni tabia ya mtu..
 
Kuna rafiki yang Ana girlfriend wake pale sasa Ana complain hamuelewi elewi manzi yake
 
nenda kwa warden wa hostel campus utapata msaada but hela uwe nayo mkononi na convincing power iwe ya kutosha..au andika barua usab uweleze Sababu ya kutaka kuhama au kama ana matatzo ya kiafya uwe na cheti au barua signed by doctor wa chuo...u may get some help.
 
Naweza pata namba ya warden?
 
Nenda na barua yako ya kaugonjwa pale kwa usab manager mwelezee vzr tuu atakuelewa mi nmefanya jana na nmepata sema nshabeba mkuu
 
The earlier the better vya kununua saiv kwa laki tatu ni ngumu kupata labda 500000
 
Back
Top Bottom