Chumba udsm main campass kwa hostel za kike kinahitajika

hiden

JF-Expert Member
Sep 28, 2015
376
691
Wakuu nina mdogo wangu wa kike kapangiwa udsm na amepata hostel za mabibo lakini sitaki akae kule.

Hivyo kama kuna ambaye anauza chumba au ataweza mbebaa kwa main campass hostel za kike anifate inbox.
Kama ataniuzia Chumba nitanunua kwa laki tatu.

Kama atambeba basi wata share cost either nilipie semista ya kwanza au wachangie wote nusu kwa nusu kila semista.
 
Back
Top Bottom