kwaku the traveler
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 294
- 819
Sawa mkuu ngoja nijaribu kama usingiz utakujawe endelea kulala utamtoa asubuhi
Unapokaa kuna umeme kwanza toka hapo chap washa taa funga mlango kwa nje then tafuta mafuta ya taa, oil chafu au Petrol ila salama zaidi mafutaa ya taa au oil chafu mwaga humo chumbani na uache mlango wazi ataoka mbio sana. Usikae karibu na malango ukimwaga hivyo vimiminika .Ni 2 : 40Am nimemuona niliamka alikaa karibu na jiko Mimi muoga vibaya naombeni msaada nitumie njian gani kumtoa Alafu haonekani na nipo kitandani sijashuka nimeshusha na net kabisa
Msaada je ningoje had Asubuh au nifanyaje humu ndani na ndani vitu vingi sijapanga vipo hovyo hovyo
Umeme upo Asante kwa ushauri huu nafanyia kaziUnapokaa kuna umeme kwanza toka hapo chap washa taa funga mlango kwa nje then tafuta mafuta ya taa, oil chafu au Petrol ila salama zaidi mafutaa ya taa au oil chafu mwaga humo chumbani na uache mlango wazi ataoka mbio sana. Usikae karibu na malango ukimwaga hivyo vimiminika .
Ukikosa hivyo tafuta mpira wowote choma hakikisha moshi unajaa humo ndani atatoka nduki sana..
Hivi kuna Siri gani kumuacha aende au kumua? Nisaidie kujuaNdani kwako lazima kuna panya, mende au wale wadudu wanapiga kelele usiku wanaoruka.
Huyo nyoka amejikuta katika harakati za kujitafutia msosi anaingia ndani kwako na si ajabu ameshaondoka baada ya kujua kuna likiumbe likubwa kama wewe.
FANYA USAFI NDANI KWAKO NA UKIMKUTA HUYO NYOKA USIMUUE, ACHA AONDOKE.
Acha uchafu fala mmoja wewe.
Nawakubali sana hao watu, hata uvamiwe na anaconda au black mamba we waite tu.View attachment 3375535
Hawa ndo wakali wa hizo kazi
Wameshindikana hawaView attachment 3375535
Hawa ndo wakali wa hizo kazi
Chukua hii..na kaa mbali kabisa kama ni mweusiUnapokaa kuna umeme kwanza toka hapo chap washa taa funga mlango kwa nje then tafuta mafuta ya taa, oil chafu au Petrol ila salama zaidi mafutaa ya taa au oil chafu mwaga humo chumbani na uache mlango wazi ataoka mbio sana. Usikae karibu na malango ukimwaga hivyo vimiminika .
Ukikosa hivyo tafuta mpira wowote choma hakikisha moshi unajaa humo ndani atatoka nduki sana..
Nasubiria jibuVp mkuu ulimuona tena au ndio katoweka mazima? Ukute yalikuwa maruweruwe ya usingizi tu